Medeama alishinda hivyo vyura fc biashara yao iliisha Jana...Matokeo ya Mazembe vs medeama ngapi ngapi?
Labda Yanga wamtafute mshana jr awasaidie kuwapa ndumba na mavumba ili hilo usemalo litokee.Yanga bado wana nafasi yakufuzu hatua inayofata,mfano mechi ijayo Mo Bejaia na Medeama wakimpiga refa timu zote mbili zikatolewa mashindanoni inabaki Yanga na Tp Mazembe ndio wanafuzu hatua inayofata