Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.
...Yanga hawasajili kwa nia ya kuziba mapengo waliyonayo bali wanafanya hivyo kwa nia ya kuvunjavunja Timu zinazoonekana zina wachezaji makini na mwisho wa siku ibaki Yanga kama Yanga bila kuwa na mpinzani: kuna habari za chinichini kwamba wana mpango pia kuibomoa Mbeya City.Dogo anajua labda wamemchukua in future coz naona hawana mapungufu sana kwenye kiungo!
...Yanga hawasajili kwa nia ya kuziba mapengo waliyonayo bali wanafanya hivyo kwa nia ya kuvunjavunja Timu zinazoonekana zina wachezaji makini na mwisho wa siku ibaki Yanga kama Yanga bila kuwa na mpinzani: kuna habari za chinichini kwamba wana mpango pia kuibomoa Mbeya City.
Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.[/QUOT
Yule wa Tunisia karudi kwao Uganda na nyie hela hamjalipwa, yule wa Ufaransa anacheza division 5...kwi kwi kwi kweli NGASA aliona mbali.
Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.
Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.
Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.
Dogo anajua labda wamemchukua in future coz naona hawana mapungufu sana kwenye kiungo!