Mimi nahitaji kadi, ila sitainunua maana nimesikia menyekiti wetu YM atatununulia wanachama wapya kadi mpya na kuwalipia wale wenye madeni ya ada ili tuingie kwa wingi kwenye uchaguzi mkuu wa viongozi ulioitishwa na Francis Kaswahili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.