Usinichoshe nisikuchoshe...
Hii yanga ni hatariiii
Weka mbali na watoto..
Hakuna kama yanga..
Wachezaji wanamchoko ila ubingwa umerudi jangwani..
Kuna timu gani duniani inaweza kushangilia ubingwa kabla ya msimu kuisha:???
Walisema sana mayele hayupo eti tutafungwa kiko wapi nauliza kiko wapi:
Tupo simple sana,tunajua tunachokifanya.
Yanga ni hatari sana,kwanzia leo tunasema yanga ndo timu no 1 tanzania..
Hatuishi kwa historia.
Tunaishi sasa.
Daima mbele nyuma mwiko..