Yanga wanaweweseka na rage

Yanga wanaweweseka na rage

boby v

Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
30
Reaction score
0
Yanga wanaweweseka sana na rage, kwan sasa wamekuwa ndo waongeaji sana kuhusu rage ooh aondoke simba kwa vile anahiujumu simba. Mbona sisi wenyewe hatuon alipotuhujumu? Simba sio kama nyie yanga kuwafukuza viongozi kila wakati, na sasa mtamfukuza manji baada ya kichapo cha mbwa mwizi toka kwa vijana wa msimbazi simba. Nyie fanyen biashara ya kuuza unga na simba iyachen icheze soka.
 
Haswaa; na ukizingatia kwamba kufikia 2015 ma-rangi yao ya Njano na Kijani yatakua hayapeperushwi tena, itapendeza sana.
 
Sema FIVE STARS MODERN...........sio Yanga
 
Ulijuaje kama njano na kijan ndo mwisho wake umefika? Yan 2015 ndo basi tena hakuna yanga serikali
 
Nyie watu mnanifurahisha sana,zile mechi 2 za kirafiki mlizoshinda kule Arusha zimewaibua huko mafichoni sasa mnabwabwaja tu mtafikiri mgonjwa wa kipindupindu kwa toilet....
 
Back
Top Bottom