Wafike dau sasaTatizo azam naye ameshajiingiza kwenye siasa za Yanga na Simba. Sikuona sababu ya azam kumzuia sure boy kutafuta changamoto sehemu nyingine.
Mbona ashaongea hujaona iyo clip????Sure Boy atoke hadharani aikane barua hiyo. Mengine ni porojo tu.
Azamu fc si walisema mpeleke 70M, afu mnasema wanawakatalia.Azam mwanzoni hawakua na shida Ila kwakua ni tawi la mbumbumbu fc na mbumbumbu wanaogopa Yanga itaimarika kwa kumpata uyo mchezaji ndio maana kilasiku unawaona Azam wanabadilisha mahitaji juu ya usajiili wa Salum Abubakar. Kilichopo Yanga ata waende na bilioni hawata uziwa uyo mchezaji. Labda Simba wangemwitaji wangepewa buure. Kwasasa Azam haina tofauti na timu za mtaani.
Wanataka 70m nyine mmepeleka 20m so hapo wamezuia kipi?Tatizo azam naye ameshajiingiza kwenye siasa za Yanga na Simba. Sikuona sababu ya azam kumzuia sure boy kutafuta changamoto sehemu nyingine.
Azam haijakataa sure boy kwenda yanga, kumbuka mpira ni biashara yanga haijafika bei
Usimjibu mp...SAWA na upum...usijefanana naeLeo hii wamefoji barua inayosomeka kuwa imeandikwa na mchezaji wa Azam FC Abubakar Salum 'sureboy' na kuiwasilisha katika uongozi wa Azam FC, ambapo lengo la barua hiyo ni kuishawishi uongozi wa Azam FC umwache mchezaji huyo, lakini uongozi wa Azam ulipomuuliza mchezaji wao Sureboy ameikana barua hiyo kuwa haitambui...
Na hapa nathibitisha Utopolo wako,Usimjibu mp...SAWA na upum...usijefanana nae
Ila hapaa wacha tufanane
1) nimesikia akihojiwa amesema MTU na sio KIONGOZI wa Yanga
1@
MTU alieleta barua ya kuonyesha interest NDIO huyohuyo ameleta Leo barua hio...
Hapo kutaja KIONGOZI n utovu wa nidhamu rekebisha kauli yako tuendelea kujadili
Sure Boy atoke hadharani aikane barua hiyo. Mengine ni porojo tu.
Yanga Africa matapeli sana