du hongera sana yanga yaani mmefungwa goli moja tu hakikaninawapongeza kwa dhati kabisa makosa mliyafanya hapa nyumbani..subirini wanaume kesho uone kazi...
Duuuh lakini yanga wanamkosi kweli kila wakipangwa wanaanza na team za egypt ambazo ni ngumu kuzitoa.hii zamalek haikuwa ya kutisha sana kwa wale tulioenda pale taifa sema ndio sikio la kufa. Yanga iombe tactics kwa simba kuwafunga warabu.