Yameshafika manne so huyo Wawa aliingizwa kuyapunguza liwe moja?
Hiyo mbinu ya kuzuia ndio ilitakiwa iwe game plan ya mwalimu tangu mpira unapoanza
Ukishafungwa 4 hapo huna sababu ya kuendelea kuweka mabeki kulinda usifungwe kumbuka hii sio mechi ya mtoano kwamba idadi ya magoli yanaweza sababisha usifuzu kwenye mechi ya marudiano
Mwalimu alitakiwa aweke full mkoko timu icheze do or die iwe inashambulia tena hilo lingewezekana kutokana na wachezaji wengi wa Yanga waliokuwa wasumbufu walitoka sub