kwa taarifa yako sababu ya sisi kudroo siyo hiyo, si unajua polisi wale wazee wa vitu vizito vyenye ncha kali, lazima uwe makini tusije tukashangilia ubingwa tukiwa tumewapoteza ndugu zetu bure, na nyie leo nasikia mmevumilia tena malibolo mawili kutoka toto!