hutumii akili hata kidogo kusifia huu ujinga...mpira sio vita ingekuwa mtu akifungwa anapigana si ingekuwa ni balaa?Yanga wamefanya sawa sawa, mirefa mingine inaboa bwana. Wangemkunyuga mpk ashindwe kujamba
Pole sana Balantanda ...hawa wachezaji sijui wametumia akili gani..mpira wa mchangani wameuleta huku kwenye ligi. its so sad
Hao yebo ndo kiogozi wao bwana RUPIA anasema wameimprove baada ya kukalia kichapo cha 1-0 kutoka kwa Zamalek. Basi hata leo wameimprove kwa kulala 3-1 kutoka kwa Azam badala ya 3-0 kama mapinduzi kule Zenji. YANGA wanashinda kwa kuongea tu,yaani wanachezea mpira mdomoni na sio uwanjani.
mm simba dam nilikuwepo uwanjani lkn yanga walikuwa wanaminxwa.nikikuuliza sabb ya kadi xa niyonzima huwezi kunipa sbb ya msingi coz hakumtukana refa wala hakumshika zaidi ya kumlalamikia.ongea kwa maslah ya soka la tz na sio kishabk ndugu.mi ni yanga damu....lakini ujinga wa kupiga marefa haukubaliki popote duniani.wachezeji kupiga refa ni
kuficha mapungufu ya ndani wapuuzi sana hawa...
Ukiminywa ndio umpige refa? Bado hauna hoja hapomm simba dam nilikuwepo uwanjani lkn yanga walikuwa wanaminxwa.nikikuuliza sabb ya kadi xa niyonzima huwezi kunipa sbb ya msingi coz hakumtukana refa wala hakumshika zaidi ya kumlalamikia.ongea kwa maslah ya soka la tz na sio kishabk ndugu.
[h=6]Yanga 0 ~ 1 Azam
Baada ya Niyonzima kutolewa kwa kadi ya pili ya njano iliyozaa red card Wachezaji wa YANGA wamemvamia Refa na kumtwisha MINGUMI ya kutosha waliompiga refa ni pamoja na Canavaro akisaidiwa na Kijiko, Nurdin na Tegete ambaye alikuwa bench, na baada ya hapo Canavaro naye katolewa kwa kadi Nyekundu, mpaka sasa Yanga wapo pungufu uwanjani wakiwa 9[/h]
Yanga wamefanya sawa sawa, mirefa mingine inaboa bwana. Wangemkunyuga mpk ashindwe kujamba
mm simba dam nilikuwepo uwanjani lkn yanga walikuwa wanaminxwa.nikikuuliza sabb ya kadi xa niyonzima huwezi kunipa sbb ya msingi coz hakumtukana refa wala hakumshika zaidi ya kumlalamikia.ongea kwa maslah ya soka la tz na sio kishabk ndugu.
Ukiminywa ndio umpige refa? Bado hauna hoja hapo
we mshakaj yanga sio mara yao ya 1 kupata red.na hata misri hawakupata red lkn hawakufanya hvo.kikubwa ni mazingir ya red plus alivoanza kuchezesha kiupendndeleo.kumbuka zidane alimpiga mtu vichwa,na kila mtu aliona but fifa walipochunguza wakaona mazingira yalimruhs zidane kumdunda yule jamaa.so wakamfutia azab na kumpa uchezaj bora.mi bado nalia na uhalali wa red ya neyonzima ambayo ni chanzo cha tatizo
so akukua na njia nyngne ya kulalamika zaid ya kumpga refa?bdo cjui kma inaingia akilini..