Yanga vs 3 pillars

Yanga vs 3 pillars

princetx

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
587
Reaction score
265
Jamani mbona kimya hakuna updates za hii mechi
 
Ni dk ya 39 matokeo ni haya hapa uploadfromtaptalk1375969231323.jpg
 
Goooool javu anawainuwa washabiki wa Yanga
 
Kwa mtu mwerevu hawezi kuhangaika nao, ulio wajaa ni wivu,chuki na fitna na kupinga maendeleo ya soka, watu tunataka tutoke kwenye Analojia twende Digital Mechi za ligi zioneshwe LIVE wao wanaturudisha nyuma maendeleo ya mpira. Hebu fikiria karne hii unakataa maendeleo kama hayo, kwa kudai mambo ya kipuuzi tu, ni akili yao?
 
Bado yanga wanaongoza 1:0. Mfungaji ni Bahanuzi.
 
Poleni sana pelekeni njaa zenu za msimbazi, yanga hatujurupuki

Back
Top Bottom