Yanga tunae sniper (Azizi Ki) SIMBA mkimkamia MAX na PACOME mmekwisha, mtamtambua mdunguaji wetu

ALLY SALIM akiwepo golini tu ujue Utopolo FC wana goli 1 mkononi.... maana kwa yale mashuti ya Aziz Ki na Kwa jinsi huyo ALLY SALIM anavyowapoozeshea watu mipira naona akina Pacome na Mzize wakisubiria re-bound za kutosha...
 
Yaani wameamua tu kujitoa ufahamu!! Uto walipigwa 2-0 na Azizi Ki hakuweza kuwasaidia!! Juzi juzi tu Mnyama kabeba ngao ya hisani mbele ya yanga na Azizi Ki hakuweza kuwasaidia!! Mimi nadhani Haji Manara hakukosea aliposema upande huo wenye akili ni wawili tu!! Hivi huyo Azizi Ki amekuja leo yanga au?
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana eti game kama ya Simba mtu anazungumzia Nzengeli na Pacome hivi hawa jamaa wanajua mpira kweli au wanahisi kila timu ni Singida big star
 
ALLY SALIM akiwepo golini tu ujue Utopolo FC wana goli 1 mkononi.... maana kwa yale mashuti ya Aziz Ki na Kwa jinsi huyo ALLY SALIM anavyowapoozeshea watu mipira naona akina Pacome na Mzize wakisubiria re-bound za kutosha...
Kwa akili yako unafikiri hii ndio itakuwa mechi ya kwanza Ally Salim kucheza dhidi ya Aziz Ki na Yanga?
Huyo Aziz apige hayo mashuti yake tuone kama atawasaidia kupata hata sare hiyo tar 5
 
Kwa akili yako unafikiri hii ndio itakuwa mechi ya kwanza Ally Salim kucheza dhidi ya Aziz Ki na Yanga?
Huyo Aziz apige hayo mashuti yake tuone kama atawasaidia kupata hata sare hiyo tar 5
Si ndo hapo wanazani kufunga kwa akina kcmc ndo watafunga pote,,,this is simba 💪
 
Huyo Njegele, Aziza na Pocono kule Tanga wakati Utopolo anapokonywa Ngao ya JAMII hawakuwepo?? Wewe huujui Mpira unaongea kishabiki. Jumapili sio mbali subir uone burudani.
Watu wamelizwa uwanjani Leo !!
 
Yaani timu kama Simba ikamie vichezaji vya kuunga unga kwa lipi wanaloweza kufanya dhidi ya Simba Sc
Hao wachezaji uliowataja Max na Pacome ni wachezaji wakutisha timu ndogo sio Simba ndio maana hao wachezaji kwenye game ya azam tu hata kufunga walikuwa wanatetemeka sasa jiulize kwa simba itakuwaje
hamka usije kojoa kitandanj
JamiiForums-868286478.jpg
 
Yaani timu kama Simba ikamie vichezaji vya kuunga unga kwa lipi wanaloweza kufanya dhidi ya Simba Sc
Hao wachezaji uliowataja Max na Pacome ni wachezaji wakutisha timu ndogo sio Simba ndio maana hao wachezaji kwenye game ya azam tu hata kufunga walikuwa wanatetemeka sasa jiulize kwa simba itakuwaje
aiseee
 
Yaani PACOME, AZIZ KI na ZENGELI kuwafananisha na KIBU, CHAMA na SAIDO ni kuu-hanithi mpira wa miguu...
 
Back
Top Bottom