ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Hakuna msiba usiokuwa na sababu. Na sasa hivi mtatoboka kama goziJapo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.
Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na Mauya,Nkane..!
Nje umewaacha Aziz,Moloko,Mzize...
Sijajua matatizo ya benchi la ufundi huwa yanapatwa na nini,
Kosa walilolifanya hata Cameroun jana..kombe la dunia hakuna mechi isiyo muhimu ati kikosi kinaanza mechiya pili bila Vicent aboubakar..! Mchezaji aliyetwaa kiatu cha dhahabu afcon iliyoisha mchezaji aliyesaidia kwa mapama kuifikisha timu qatar!..lakini alivyoingia matokeo yakaonekana.
Turudi kwetu
Nilivyokiona kikosi kilichoanza tu leo nikapatwa na mashaka mno na nikawaambia jamaa huku kuwa kwanini azizi,mzize na moloko waanzie nje?
Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mtu wa mpira huwezi kulaumu na kusema tumejitakia kufungwa maana hujui hao wachezaji walioanza walimshawishi nini kocha mazoezini,then kumbuka hamna timu isiyofungwa dunianiJapo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.
Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na Mauya,Nkane..!
Nje umewaacha Aziz,Moloko,Mzize...
Sijajua matatizo ya benchi la ufundi huwa yanapatwa na nini,
Kosa walilolifanya hata Cameroun jana..kombe la dunia hakuna mechi isiyo muhimu ati kikosi kinaanza mechiya pili bila Vicent aboubakar..! Mchezaji aliyetwaa kiatu cha dhahabu afcon iliyoisha mchezaji aliyesaidia kwa mapama kuifikisha timu qatar!..lakini alivyoingia matokeo yakaonekana.
Turudi kwetu
Nilivyokiona kikosi kilichoanza tu leo nikapatwa na mashaka mno na nikawaambia jamaa huku kuwa kwanini azizi,mzize na moloko waanzie nje?
Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
HahahaMjini kimyaaa!Β‘!!!View attachment 2430932View attachment 2430933View attachment 2430934View attachment 2430935View attachment 2430936View attachment 2430937
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hiyo unbeaten ilichangiwa na maamuzi mengi mabovu. Kwa hiyo utopolo siyo kwamba haifungiki hata hao akina Aziz wakianza.
Tatizo mmekiuka masharti ya mganga wenu wa kuvaa jezi nyeusi huko kwingne ni vilio tu kama vilio vingne vya kuchezewa na mtoto mdogo
Haya yote yatasemwa pale ambapo Yanga ikifungwaMpira haupo hivo kijana, kuna siku mechi huwa inakataa tu, man city alipanga full kikosi akabamizwa pale sebuleni kwake etihad na watoto.
Argentina kapigwa na wavaa kobaz akiwa na kikos chake chote, mashabiki wanaoujua mpira hawawezi kuja sababu za kitoto kama hizi.
Yanga kuna siku itafungwa ndo kama hivi imefungwa. Mpira una matokeo matatu
Kwani simba ndio mmecheza?Mjini kimyaaa!Β‘!!!View attachment 2430932View attachment 2430933View attachment 2430934View attachment 2430935View attachment 2430936View attachment 2430937
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Aziz alipaswa kuanza,joto kule mbalali leo ilikua 34Β°C zaidi ya darUnasema Yanga mmejitakia wenyewe kufungwa at the same time unakuja kuainisha sababu zilizochangia kufungwa ikiwa ni joto sana (ambazo zipo nje ya uwezo wenu)
Hapo wenyewe sidhani kama ulichokiandika ukikisoma utakielewa.
Kwanza ungejua Dar kuna joto kali kuliko hayo mazingira unayosema, na mmekuwa mkipata matokeo mazuri.
Unasema Azizi Ki ameanzia benchi kama ndio moja ya sababu iliyopelekea mpaka mkafungwa, na sasa unampa lawama kocha
Umesahau ushindi mliopata Tunnis, AziI Ki alianzia benchi na mliposhinda mkitoka vifua mbele kumsifu Nabi kuwa alikuwa na plan nzuri kumuanzishia benchi Azizi Ki ili awe kama game changer?
Mara hii mmesahau kuwa huyu ndio mlikiwa mnampa promo kuwa mchezaji mkubwa huamua mechi kubwa?