Sijaandika cos Nina wivu Bali kwa mtazamo wangu ninaouona haina haja ya kupaniki ukitulia kwa umakini na ukausoma Uzi wangu Bila ushabiki utaliona hilo.WIVU NI KIDONDA, UKISHIRIKI UTAKONDA
TUACHE NA YANGA YETU
HUONI IKITOBOA KWA SABABU WEWE NI KIPOFU...HAINA HAJA YA KUPANIKISijaandika cos Nina wivu Bali kwa mtazamo wangu ninaouona haina haja ya kupaniki ukitulia kwa umakini na ukausoma Uzi wangu Bila ushabiki utaliona hilo.
Mbona niliandika Uzi wangu kuhusu Simba na nikasema wabrazili wote waliowasajili wamepigwa kweupe na nikatoa na sababu.HUONI IKITOBOA KWA SABABU WEWE NI KIPOFU...HAINA HAJA YA KUPANIKI
NA MWAKA HUU SIMBA MTAKOMA, YANGA INAWAUMIZA VICHWA SANA.... MADHAIFU YA YANGA UNAYAONA KULIKO YA MIKIA FC
PAMOJA NA HAYO, MAONI YAKO YANAHESHIMIWAMbona niliandika Uzi wangu kuhusu Simba na nikasema wabrazili wote waliowasajili wamepigwa kweupe na nikatoa na sababu.
Kelvin Yondani hatocheza Jumamosi, Township wanakuja kuchukua ushindi wanaondoka kubali ukatae.HUONI IKITOBOA KWA SABABU WEWE NI KIPOFU...HAINA HAJA YA KUPANIKI
NA MWAKA HUU SIMBA MTAKOMA, YANGA INAWAUMIZA VICHWA SANA.... MADHAIFU YA YANGA UNAYAONA KULIKO YA MIKIA FC
SAWA, JUMAMOSI SIO MBALI MKUU MKIA FCKelvin Yondani hatocheza Jumamosi, Township wanakuja kuchukua ushindi wanaondoka kubali ukatae.
Mkuu mimi simba, ila Yanga timu anayokutana nayo sio ngumu kivile,, mm naamin watapita hii hatua,,Me ni mshabiki wa Simba ila ningependa timu ya yanga ifanye vizuri mechi za caf ili tuwe na timu nyingi za Tanzania lakini pamoja na matamanio hayo ila niliangalia kiuhalisia naiona kabisa ni ngumu kwa yanga kuitoa township rollers kwa vigezo vifuatavyo
1.maandalizi sio yakutosha
Timu ya township rollers imecheza mechi nne dhidi ya strong opponents pre season tofauti na yanga imecheza na timu ambazo sio nzuri ukiitoa ile timu ya Kenya
2.hakuna combination nzuri kwa yanga
Yanga inawachezaji wengi wapya kulinganisha na township rollers ambao wameuza wachezaji wanne tu kwenye timu yao na kuingiza wachezaji wanne yaani hamna mabadiliko makubwa Sana kwenye timu yao ndo maana kocha ametengeneza good coordination ya team kwa muda mfupi Bali kwa yanga inaitaji muda mrefu mpaka kocha wao atengeneze combination nzuri kutokana na weakness zilizoonekana ktk timu na pia ukinzingatia wana muda mfupi mpaka kufika siku ya mechi jumamosi.
Hiv umeangalia mech zao kweli?Mkuu mimi simba, ila Yanga timu anayokutana nayo sio ngumu kivile,, mm naamin watapita hii hatua,,
Hiv umeangalia mech zao kweli?
Umerudi kwa kasi ya ajabu! The first to reply! Hahaha hahahaWIVU NI KIDONDA, UKISHIRIKI UTAKONDA
TUACHE NA YANGA YETU
KAWAIDA MKUUUmerudi kwa kasi ya ajabu! The first to reply! Hahaha hahaha
[emoji3] mkuu nliangalia baadhi ya clip na ile ya mlandege,,Hiv umeangalia mech zao kweli?
Huyu huyu township aliyempiga yanga goli mbili pale taifa amaMkuu mimi simba, ila Yanga timu anayokutana nayo sio ngumu kivile,, mm naamin watapita hii hatua,,
Mmmh hiyo ilipigwa ivi karibuni?Huyu huyu township aliyempiga yanga goli mbili pale taifa ama