Yanga sc vs mtibwa sugar fc

Nimegeeeeni na ya Azam bhana! Hizo timu zilizo pigwa lana zanini?
 
Leo Taifa kazi ipo Mtibwa wamebana
 
Gumbo anataka kutuua hapa, kona sasa
 
Polisi Moro 0 v/s African Lyon 0
 
Shabani Kisiga kapiga kwa kichwa
 
Half time kutangulia si kufika
 
Yanga ni yanga tu msiponunua mechi hii tutapigwa hakuna beki
 
Kipindi cha pili kimeanza
 
Vipi bado Mtibwa hawajaongeza tu jamani? Hebu tujuvyeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…