Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Haraka ya nini mkuu?Uongo huu.
Uongo bwana haina haja ya kusubiri.Haraka ya nini mkuu?
Nafasi ya kiungo mkabaji ni ngumu uwanjaniNilikuwa shabiki mkubwa wa Aucho ila utovu wa nidhamu awapo uwanjani umenivunja moyo.
Anafanya makosa ambayo huwezi kuyategemea kutoka kwa mchezaji pro kama yeye, mbadala wake sio mjadala tena... anahitajika haraka.
Tatizo hapati kadi za "kazi"ila ni za utovu wa nidham mf tukio la juzi dhidi ya Ajibu halikuwa na umuhimu kiasi Cha kupata kadi na hata Ile ya mwaka JanaNafasi ya kiungo mkabaji ni ngumu uwanjani
Tuliocheza mpira tunajua ugumu wake
Aucho ni bonge la kiungo akili kubwa
Kadi kwa kiungo ni za kufikia
Angalia akina na casemiro, kante, bosquet, Rice, xhaka, partey kumaliza mechi bila kadi ni ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, ngoja tuchukulie mfano wa mechi iliyoniuma zaidi nusu fainali ya pili kule S.A Vs Marumo... Ile kadi ya kujitakia kwa kumbabua mchezaji vile na mpira tena nje ya uwanja ndio ugumu wa kiungo mkabaji?Nafasi ya kiungo mkabaji ni ngumu uwanjani
Tuliocheza mpira tunajua ugumu wake
Aucho ni bonge la kiungo akili kubwa
Kadi kwa kiungo ni za kufikia
Angalia akina na casemiro, kante, bosquet, Rice, xhaka, partey kumaliza mechi bila kadi ni ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia viungo wote wakabaji hakuna kiungo mkabaji mnyonge...Nilikuwa shabiki mkubwa wa Aucho ila utovu wa nidhamu awapo uwanjani umenivunja moyo.
Anafanya makosa ambayo huwezi kuyategemea kutoka kwa mchezaji pro kama yeye, mbadala wake sio mjadala tena... anahitajika haraka.
Asante.Tatizo hapati kadi za "kazi"ila ni za utovu wa nidham mf tukio la juzi dhidi ya Ajibu halikuwa na umuhimu kiasi Cha kupata kadi na hata Ile ya mwaka Jana
Anapaswa kurekebisha muenendo mbona Akaminko anajitahidi kuzuia hasira
Ubabe mwingi ,ingawa ndio machine ya timuNilikuwa shabiki mkubwa wa Aucho ila utovu wa nidhamu awapo uwanjani umenivunja moyo.
Anafanya makosa ambayo huwezi kuyategemea kutoka kwa mchezaji pro kama yeye, mbadala wake sio mjadala tena... anahitajika haraka.
Hii inaitwa mihemko... Umewahi kucheza hata mpira wa pete?, Unajua joto linapompanda mchezaji?. Yanga itachukua miaka 10+ kupata kiungo wa karba ya Aucho!!.Okay, ngoja tuchukulie mfano wa mechi iliyoniuma zaidi nusu fainali ya pili kule S.A Vs Marumo... Ile kadi ya kujitakia kwa kumbabua mchezaji vile na mpira tena nje ya uwanja ndio ugumu wa kiungo mkabaji?
Unajua pengo la Aucho ndilo lililotunyima kombe kwa kupoteza ile mechi ya kwanza hapa nyumbani?
Aucho hatufai tena, naunga mkono hoja ya kuletwa mbadala wake yeye atupishe.
Gilberto Silva ,ilikua lzm ale kadi kila baada ya mechi kadhaFuatilia viungo wote wakabaji hakuna kiungo mkabaji mnyonge...
Kufaa bado anafaa ila akipata mbadala itakua poa zaidiOkay, ngoja tuchukulie mfano wa mechi iliyoniuma zaidi nusu fainali ya pili kule S.A Vs Marumo... Ile kadi ya kujitakia kwa kumbabua mchezaji vile na mpira tena nje ya uwanja ndio ugumu wa kiungo mkabaji?
Unajua pengo la Aucho ndilo lililotunyima kombe kwa kupoteza ile mechi ya kwanza hapa nyumbani?
Aucho hatufai tena, naunga mkono hoja ya kuletwa mbadala wake yeye atupishe.