POLE na tusameheane.jamani wewe tall nini kutuwekea Topic za mpira kwenye Mapenzi na mapendo ..🙂🙂
hahaha umeanza kufanya niwaze tulivyofungwa kule Congo..badala ya kumshauri huyu ambaye kila akimuona sister wake mambo yanaharibika...!!😀
Mods tuhamishie hii Topic peleka kule kwenye ma- sports
1 minute please!Invisible fanya the necessary to this post!
Bangi?Tall kapagawa; nadhani urefu wake umemletea ubongo kuyeyuka sababu ya jua. Kila mahali naona kaharibu. Watu wanakula yeye anakunya. Kaaaaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli