YANGA na SIMBA ya KWELI HAYA???

watani wajadi hakuna wa kuwapiku!
wajipe moyo tu hao azam!
 
Unawakejeli wakongwe? haya ijiandae mechi ya marudiano...hapo ndo watajua kama watani wanapendana.....
 
hyo timu ya m2 ,, cc timu za wanachama ,,, we shoboka tu mwarabu huyo.....!!!!!!!
 
Watu wanataka soka letu lipae juu bila
kujali timu gani.
Lakini nadhani ni vijembe kwenye soka kawaida.
 
Mkuu watu8 hizo ni porojo tu simba na yanga ndio alfa na omega kwa soka la kibongo.. ila kuna mapungufu kidogo ila hiyo deb kila nchi ipo anzia engla kuna man u na liva, nenda hispania kuna barca na madrid, kule italy kuna ac na inter, kote karibu lazma kuwe na utani bwana , sema masimba na mayanga tunapaswa kujipanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…