Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Chizi kweli. Nyie tunapowafunga huwa mmetuuzia nyeti zenu hizo?Kweli mikia uneducated..unatolewa na UD Songo awali wakati wale Platnum ya Zimbabwe waliwapiga UD Song home and away goli 4 na 3..fitina zenu za kununua timu pinzani muda sio mrefu kweupe..Takukuru wako kazini
. Hakika Rage hakukosea sijawai ona Watu mambumbumbu kama mashabiki we a Hirizi sc.Ubora up Wa Mikia unao uzungumzia? Ligi kuu hamfungwi? Mapinduz cup mmetobolewa mbele ya kombe, Ili kujuwa kama nyie ni mapopoma subili Bibi Hindu sc itakapopata hata sare mtavyopanua midomo mkimtaka Kuku kishingo wen aondoke. Yanga tunachokijua Huh ni mpira na kwasasa tupo ktk wakat Wa mpito kujenga kikos imara kitakachokuja kuleta ushindan baadae so huwez sikia kelele tofaut na wachache wasioelewa nin maana ya footboll.Yanga wanajua pasi na shaka kwamba hawana tena uwezo wa kupambana na Simba uwanjani kutokana na ubora wa vikosi na wanajua kikosi na cha Simba ni mbingu na Ardhi.
Ndipo wanapoamua kuja na hoja za kinafiki ili kutaka kuichafua Simba ionekane inapata ushindi wenye mashaka na sio kwa uwezo wa timu. Na sasa Mungu anawaumbua.
Walianza na kulaumu marefa. Kabla halijathibitishwa wakaja na hadithi ya kutunga kwamba Kidawa alitaka kuhongwa Ist ili apate kadi asipangwe kabla halijathibitishwa wakaja na kituko cha mwaka kwamba Simba inapuliza dawa vyumbani. Kabla halijathibitishwa wakaleta mpya eti Simba inanunua wapinzani wake.
Haya yote sasa yanathibitika kumbe ndiyo michezo yao na wakishafanya wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kinafiki na kuwazushia Simba hawataki tena kuzungumzia takwimu na ubora wa timu bali unafiki na uzushi.
Huwezi kuwa na Tshishimbi, Mapinduzi, Niyonzima, Japhari, Juma Abdul, Molinga na Yikpe. Ukataka upambane na timu yenye watu wa kati kama Kapombe, Shabalala, Mkude, Chama, Kahata, Boko, Dilunga na Kagere, lazima utafeli tu.
Simba inafanya vizuri kwa kuwa ina kikosi bora kama timu na mchezaji mmoja mmoja. Simba kadri siku zinavyokwenda inazidi kuwa bora zaidi na siku si nyingi mtakubali tu Simba hii imeboreshwa zaidi na ni bora kuliko ya msimu uliopita.
Yanga haina kikosi bora na inakosa wachezaji wa kuhimili mechi zenye presha ya kuekekea mwishoni mwa ligi.
Haya mechi yenu na Polisi mligoma kuingia vyumbani mbona hamkushinda? Au mnataka kutuaminisha Polisi nao huwa wanafanya kama nyie mnavyofanya vyumbani? Mbona sasa marefa wamekuwa wakikataa magoli mnayofungwa? Rejea mechi za Ruvu, Mbeya City na Polisi zote zimekataliwa magoli yao halali. Huwa mnawapa nini marefa na hawaoni hayo magoli? Mkishatuharibia marefa wetu mnawahi kuwatuhumu Simba.
ULE MUDA WA BINGWA KUPANGWA MEZANI AU KUSHINDA KWA PROPOGANDA HAUPO TENA. SIKU HIZI UTANDAWAZI UMETANDAWAA MECHI ZINAONYESHWA NA KILA MTU ANAONA. TUNAJUA HUKO NYUMA ILIWEZEKANA FIGISU ZENU MPAKA MNAITWA MABINGWA WA KIHISTORIA KWA VIKIMBE MLIVYOKUWA MKIBEBA KWA KUBEBWA NA MAGUMASHI. BADILIKENI TENGENEZENI TIMU BORA YA KUSHINDA UWANJA
Sent using Jamii Forums mobile app

Uneducated liars doing what they do best - lying!Yanga wanajua pasi na shaka kwamba hawana tena uwezo wa kupambana na Simba uwanjani kutokana na ubora wa vikosi na wanajua kikosi na cha Simba ni mbingu na Ardhi.
Ndipo wanapoamua kuja na hoja za kinafiki ili kutaka kuichafua Simba ionekane inapata ushindi wenye mashaka na sio kwa uwezo wa timu. Na sasa Mungu anawaumbua.
Walianza na kulaumu marefa. Kabla halijathibitishwa wakaja na hadithi ya kutunga kwamba Kidawa alitaka kuhongwa Ist ili apate kadi asipangwe kabla halijathibitishwa wakaja na kituko cha mwaka kwamba Simba inapuliza dawa vyumbani. Kabla halijathibitishwa wakaleta mpya eti Simba inanunua wapinzani wake.
Haya yote sasa yanathibitika kumbe ndiyo michezo yao na wakishafanya wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kinafiki na kuwazushia Simba hawataki tena kuzungumzia takwimu na ubora wa timu bali unafiki na uzushi.
Huwezi kuwa na Tshishimbi, Mapinduzi, Niyonzima, Japhari, Juma Abdul, Molinga na Yikpe. Ukataka upambane na timu yenye watu wa kati kama Kapombe, Shabalala, Mkude, Chama, Kahata, Boko, Dilunga na Kagere, lazima utafeli tu.
Simba inafanya vizuri kwa kuwa ina kikosi bora kama timu na mchezaji mmoja mmoja. Simba kadri siku zinavyokwenda inazidi kuwa bora zaidi na siku si nyingi mtakubali tu Simba hii imeboreshwa zaidi na ni bora kuliko ya msimu uliopita.
Yanga haina kikosi bora na inakosa wachezaji wa kuhimili mechi zenye presha ya kuekekea mwishoni mwa ligi.
Haya mechi yenu na Polisi mligoma kuingia vyumbani mbona hamkushinda? Au mnataka kutuaminisha Polisi nao huwa wanafanya kama nyie mnavyofanya vyumbani? Mbona sasa marefa wamekuwa wakikataa magoli mnayofungwa? Rejea mechi za Ruvu, Mbeya City na Polisi zote zimekataliwa magoli yao halali. Huwa mnawapa nini marefa na hawaoni hayo magoli? Mkishatuharibia marefa wetu mnawahi kuwatuhumu Simba.
ULE MUDA WA BINGWA KUPANGWA MEZANI AU KUSHINDA KWA PROPOGANDA HAUPO TENA. SIKU HIZI UTANDAWAZI UMETANDAWAA MECHI ZINAONYESHWA NA KILA MTU ANAONA. TUNAJUA HUKO NYUMA ILIWEZEKANA FIGISU ZENU MPAKA MNAITWA MABINGWA WA KIHISTORIA KWA VIKIMBE MLIVYOKUWA MKIBEBA KWA KUBEBWA NA MAGUMASHI. BADILIKENI TENGENEZENI TIMU BORA YA KUSHINDA UWANJA
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kufuatilia mpira juzi. Toka zianzishwe, Yanga na Simba zimekutana mara ngapi na timu ipi imemfunga mwenzake mara nyingi zaidi?Chizi kweli. Nyie tunapowafunga huwa mmetuuzia nyeti zenu hizo?
Mafanikio yetu mwaka jana kwenye Champion league ni makubwa na hauwezi kuyapata wewe na timu yako ndani ya miaka 200 ijayo.
Umeanza kufuatilia mpira hivi karibuni, Yanga na Simba nani kapata mafanikio katika michuano ya kimataifa.Umeanza kufuatilia mpira juzi. Toka zianzishwe, Yanga na Simba zimekutana mara ngapi na timu ipi imemfunga mwenzake mara nyingi zaidi?
Uneducated liars nyie!
Fainali ipi ya Champions League? Unaijua tofauti ya Champions League na Confederation Cup?Umeanza kufuatilia mpira hivi karibuni, Yanga na Simba nani kapata mafanikio katika michuano ya kimataifa.
Tumecheza fainali ya Champion league wakati nyie mkicheza fainali ya Mapinduzi.
Simba kufika robo fainali CAF champions league haikumbukwi na wanasimba tu bali na CAF pia na ndio maana kwenye viwango vya klabu Afrika Simba iko juu zaidi ya klabu yoyote kutoka nchini.Fainali ipi ya Champions League? Unaijua tofauti ya Champions League na Confederation Cup?
Huku kimataifa mna vikombe vingapi? What counts ni vikombe.
Ranking ni kitu seasonal. Usisahau hilo. Wakati Yanga ikishiriki mashindano ya CAF na Simba ikiwa matopeni, ranking ya Yanga ilikuwa juu. Mwaka Jana ya Simba ilikuwa juu kwa kufika robo fainali.Simba kufika robo fainali CAF champions league haikumbukwi na wanasimba tu bali na CAF pia na ndio maana kwenye viwango vya klabu Afrika Simba iko juu zaidi ya klabu yoyote kutoka nchini.
Umeanza kufuatilia mpira juzi. Toka zianzishwe, Yanga na Simba zimekutana mara ngapi na timu ipi imemfunga mwenzake mara nyingi zaidi?
Uneducated liars nyie!
Mikia FC.Yanga wanajua pasi na shaka kwamba hawana tena uwezo wa kupambana na Simba uwanjani kutokana na ubora wa vikosi na wanajua kikosi na cha Simba ni mbingu na Ardhi.