kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,793 Reaction score 5,053 Feb 19, 2023 #1 Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni
Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni
T tutunfyekyela JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 473 Reaction score 786 Feb 19, 2023 #2 kwisha said: Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni Click to expand... Jana manzoki mbona hakucheza? Alikuja kupiga kura kama mwanachama? Simba nguvu moya
kwisha said: Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni Click to expand... Jana manzoki mbona hakucheza? Alikuja kupiga kura kama mwanachama? Simba nguvu moya
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,405 Reaction score 114,842 Feb 19, 2023 #3
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,029 Feb 19, 2023 #4 kwisha said: Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni Click to expand... Kwani nyie Simba, wale RAJA hamkujipanga zaidi ya kuendesha basi kinyumenyume?
kwisha said: Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni Click to expand... Kwani nyie Simba, wale RAJA hamkujipanga zaidi ya kuendesha basi kinyumenyume?
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,617 Reaction score 16,420 Feb 19, 2023 #5 Akili kuwa mfukoni ndio inakuaje apo kitaalam