acha kwanza tusote, swaumu itupige kisawasawa ili siku mwekezaji akijitokeza tuungane kumpa timu.
We si unaona mikia walivopigwa na swaumu mpaka wakageuka ng'ombe kila mtu MO MO MO MO MO MO huwaambi ktu kuhusu Mo.
Yanga tutafungwa na gor mahia game ijayo,,, nimeangalia mpira wao na rayon sports Leo,,, kwa ufupi tujiandae kisaikolojia kushika mkia kwenye kundi.
Kinachouma zaidi eti Mkemi ni head wa marketing department ya timu,,

1. hatuna kocha wa maana. Tumeokota tu kocha ambae hana hata CV kwenye soka la afrika
2. hatuna viongozi ila tuna kundi la wapiga dili wanaoangalia maslahi yao na sio ya timu.