YANGA MKIENDA MAHAKAMANI HAKIKA NDIO MWISHO WA KUCHEZA MPIRA

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Nachukua wasaa huu kuipongeza Wakimataifa Yanga Kwa uamuzi wao wa kulipeleka Soka Mahakamani.Naamini Yanga wanaijua vizuri FIFA hivyo wajiandae kuachana Na Soka badala yake wapageuze pale Jangwani pawe Hotel kwana tayari pana Swimming Pool zuri ambalo litavutia wateja.Yanga Oyee.
 
Hawana jipya hawa vyura. Kama sheria na kanuni za ligi zimefuatwa watakuwa wanatwanga maji kwenye kinu. Wajinga ndio waliwao!
 
Mi nadhani alosto imepiga hodi jangwani toka kwa jamaa yao hivyo hawana hamu tena na mchezo wa soka. ni vizuri maana namna nzuri ya kujitoa kwenye soka ni mahakamani tu
 
Mbona Ajib alichagua mechi....upuuzi mtupu
Kosa la mtu mmoja hali justify la mwingine wewe uibe upelekwe mahakamani utete eti mbona Fulani nae aliiba!? Huu ukimaitaifa mnao jipambanua nao ni upi Kama Hata kanuni rahisi tuu hamjui?
 
Kuna sheria za Simba na Kagera? Wanaofanya maamuzi si ni kamati ileile?

Kosa la mtu mmoja hali justify la mwingine wewe uibe upelekwe mahakamani utete eti mbona Fulani nae aliiba!? Huu ukimaitaifa mnao jipambanua nao ni upi Kama Hata kanuni rahisi tuu hamjui?
 
Subirini waarabu wawatoboe kwanza,mtarudi tu kwa bwana yenu,maanake timu iko kwa waarabu mioyo iko Simba!Ukipata mchumba king'ang'anizi kama ninyi hata kazi hufanyi kwa ufanisi
 
Back
Top Bottom