Yanga leo watakuwa bungeni!

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Mabingwa wa kusakata kabumbu ukanda mzima wa Africa ya Mashariki na Kati, Dar-es-salaam Young Africans almaaruf kama Yanga leo watakuwa bungeni kwa Mwaliko wa Waheshimiwa wabunge wanaothamini mchango wa team hii katika kuipeperusha vyema bendera ya Taifa kwenye mashindano ya kimataifa.
Wachezaji wa team hii wanatarajiwa kuambatana na Viongozi wao mpya wakiongozwa na Mwenyekiti wao Jemedari Manji.
My take:
Tutarajie na watani zetu kuiga kwa kupeleka Kombe la UJIRANI MWEMA,kama walivyoiga mwaka jana tulipopeleka Kombe la Kagame wao wakapeleka la Ligi kuu,sasa safari hii ksbb lile la Ligi kuu wanalolishikilia walishalipeleka itabidi wapeleke hili la UJIRANI MWEMA walilolinyakua juzijuzi,kombe ni kombe watani jiapangeni kulipeleka tu.
 

Taratibu kaka... hujui kuwa unatonesha vidonda vya watu hapa?
 
Simba tutapelaka hii
 
Last edited by a moderator:
Na hii
 
Last edited by a moderator:


Hilo ndo tatizo la unazi wa simba na yanga, bado unazungumuzia goli 5, wakati England hiyo sio agenda kwao , arsenal ilipigwa 8 na man na man wakapigwa sita na man city msimu uliopita, alafu simba wakala 3 kwa azam akiwa ni john boko aliyemtungua yote matatu kaseja, hapa tuzungumuzie kombe la afrika mashariki na kati ambalo ndo limewasababisha wanaume kutinga mjengoni leo
 
Last edited by a moderator:
Simba na uhaba wa ma'kombe ya maana mpaka Mkuu Crashwise anasahau kama kombe linalohusiana na Clips alizozibandika hapa juu kuwa walishalipeleka bungeni,ambalo hawajalipeleka kule ni hili hapa:-


Waziri asiye na wizara maalum Zanzibar Mh Machano Othman Said akimkabidhi kombe la ubingwa wa michuano ya urafiki nahodha wa Simba Juma K. Juma baada ya kuifunga Azam FC kwa penalt 5-3
 

Achana na hawa domo bwabwaja na wajazaji wa vibendera vijiweni.
Wao hawajui kwenye kumbukumbu za TFF, CECAFA, CAF & FIFA hawatunzi idadi yamagoli kwenye mechi moja.

Huko uUtakuta rekodi za nguvu kama hizi hapa....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…