Jumatano hii yanga itashuka dimbani kukipiga na marumo mchezo wa pili wa nusu fainali. Habari njema nikuwa yanga watafanikiwa kupata sare na kusonga mbele kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa.

Alisema kuwa Simba itatoa sare ya 1 kwa 1 kwa Mkapa, pia alisema Yanga atafungwa goli mbili na rivers. Aliyopatia ni ile aliyosema Simba ijiandae kwa penati.