Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,480
- 37,756
Mchezo wa soka Tanzania una waamuzi 3, kosa kubwa katika tukio hili liko kwa mwamuzi wa pembeni (Line 1) ambaye tukio lilikuwa upande wake kabisa lakini hakuwa makini kumsaidia refa wa kati. Siku za karibuni naona waamuzi wa pembeni ndio wanoongoza kuboronga kwenye maamuzi na sisi tunasahau tunawalaumu waamuzi wa kati. Goli la Simba la juzi ni miongoni mwa maamuzi ya ovyo ya washika vibendera.Makosa ni kati ya nguzo muhimu zinazoshikilia soka, pia unaweza ukasema kati ya misingi inayoibeba soka, Makosa ni mojawapo.
Hivyo basi hilo kosa hapo siyo la kumlaumu kabisa referee, kama binaadam ni rahisi sana kwa refa kufanya maamuzi ya kimakosa katika mazingira yale.
Sent using Jamii Forums mobile app