Kocha bila wachezaji waandamizi ni kazi bure hata angekuja Pep Gardiola,au Morinho.
Hili jambo ndo limeitesa klabu ya Simba misimu michache iliyopita, Yanga ya sasa haina key players,yaani wachezaji wa kuamua mechi ,hata Ile Derby ya juzi kiwango alichoonesha Simba si mbinu za kocha Bali wachezaji wenye uzoefu na vipaji alisilia