habari bandugu zaidi ya yote ritz na zomba napenda mpate taarifa mimi ni mpenzi mkubwa wa yanga tangu 1981. ila niliamua kuihama yanga na kuhamia azam kwa ajili tu ya rangi zao maamuzi haya niliyafanya 1994 baada ya kuamua kuhama analogia ..niliamua hata kabla azam haijaanzishwa any way kwa kufupisha naomba yanga wabadili rangi zao ili hata ambao tumejificha azam kwa ajili hii turudi kundini.....karibuni kwa maoni na matusi kidogo.........cc.... zomba,rizt mafegi, tume ya katiba, na laaana wenzao.....
umenikumbusha kuna rafiki yangu mmoja hapendi tomato soas eti kwa sbb inafanana na rangi za mwezini za wife! Anwayz wewe ungehamia Simba kabisa, mtu anapenda timu na sio rangi ya jezi! Zingatia kwamba Yanga ndio timu yenye mashabiki wengi EAhabari bandugu zaidi ya yote ritz na zomba napenda mpate taarifa mimi ni mpenzi mkubwa wa yanga tangu 1981. ila niliamua kuihama yanga na kuhamia azam kwa ajili tu ya rangi zao maamuzi haya niliyafanya 1994 baada ya kuamua kuhama analogia ..niliamua hata kabla azam haijaanzishwa any way kwa kufupisha naomba yanga wabadili rangi zao ili hata ambao tumejificha azam kwa ajili hii turudi kundini.....karibuni kwa maoni na matusi kidogo.........cc.... zomba,rizt mafegi, tume ya katiba, na laaana wenzao.....
Mimi ni fan wa Liverpool (red) na Yanga (yellow + green).And that speaks volumes about colour ideologies!Shove it!habari bandugu zaidi ya yote ritz na zomba napenda mpate taarifa mimi ni mpenzi mkubwa wa yanga tangu 1981. ila niliamua kuihama yanga na kuhamia azam kwa ajili tu ya rangi zao maamuzi haya niliyafanya 1994 baada ya kuamua kuhama analogia ..niliamua hata kabla azam haijaanzishwa any way kwa kufupisha naomba yanga wabadili rangi zao ili hata ambao tumejificha azam kwa ajili hii turudi kundini.....karibuni kwa maoni na matusi kidogo.........cc.... zomba,rizt mafegi, tume ya katiba, na laaana wenzao.....
Ipi ilianza Yanga au?
habari bandugu zaidi ya yote ritz na zomba napenda mpate taarifa mimi ni mpenzi mkubwa wa yanga tangu 1981. ila niliamua kuihama yanga na kuhamia azam kwa ajili tu ya rangi zao maamuzi haya niliyafanya 1994 baada ya kuamua kuhama analogia ..niliamua hata kabla azam haijaanzishwa any way kwa kufupisha naomba yanga wabadili rangi zao ili hata ambao tumejificha azam kwa ajili hii turudi kundini.....karibuni kwa maoni na matusi kidogo.........cc.... zomba,rizt mafegi, tume ya katiba, na laaana wenzao.....
Maccm yameiga kwa Yanga rangi hizo
Heri ya CCM waliiga rangi za jezi za Yanga, wasingeweza kuiga rangi za Simba kwa vile ni nyekundu na nyeupe. Rangi nyekundu ni alama ya kuwa 'period' na nyeupe ni alama ya pedi. Recreative do Libolo lilipoona hivyo halikujali, likatupia kimoja Dar na vinne huko Angola. Yanga oyeee!
Oyeeeee!
Mazungumzo ya Simba na Libolo yalikuwa hivi:
Libolo: tangu tuachane, hujakutana na mwingine?
Simba: ndiyo Sweet.
Libolo: sasa huku Angola umefuata nini?
Simba: nimefuata Libolo.
Libolo: umenipata.
Simba: utanipiga goli ngapi?
Libolo: idadi itategemea your cooperation!