Yanga 3 simba 2 matokeo ya mpira wa kesho

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Hayo ni matokeo ya awali
mpka usiku wa leo yanasomeka hivyo zimebaki dk 2 kupata matokeo kamili

magoli ya yanga yatafungwa
1.mrisho ngasaa dk ya 8
2.hamis kiiza dk ya 42
3.dk ya 67 na kavumbagu/athuman chuji inategemea atakekuweko uwanjani mpaka kipindi hiko

magoli ya simba
hiza tambwe kwa njia ya penalti dk ya 35
mwombeki huyu nae atasababisha penalt ingawa refarii ataikataaa
baadae atafunga goli la kawaida na

mpira unatarajiwa kuisha hivyo
 
Kweli mlioachiwa nafasi ya utabili na sheikh yahaya mmekuwa wengi.
utabiri wako ubaki kama ulivyo.
 
Mpira huu mmeshacheza Bagamoyo
Hii ndiyo inayotupa tabu mno mpaka
soka limedumaa . Sasa umelala na matokeo!
 
Tambwe mapenati hana uwezo wa kuifunga yanga labda goli la ndotoni wakati anaota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…