Cuf hakuna mgogoro wowote , kilichopo ni maumivu ya kutimuliwa Msaliti lipumba na wapambe wake , cuf ni chama kilichokomaa ambacho pamoja na kushinda majimbo mengi ya baraza la wawakilishi octoba 25 , kimeamua kusamehe ushindi huo ili kulinda demokrasia na kupinga mabavu.
Mungu ibariki cuf .