Ya CUF waachie CUF,ya UKAWA waachie UKAWA..Kuna hali kubwa ya sintofahamu inaendelea katika chama cha wananchi CUF ambacho ni moja kati ya vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA
Cha ajabu ni kwamba mpaka sasa si CDM wala NLD wala NCCR ambao wameonyesha atleast hali ya kuwa wanaguswa na mgogoro ule they are all silents
Sasa sisi wananchi na wakereketwa wa ukawa tunalazimika kuhoji
mkuu,ametisha kama kivuli chake..Kweli kabisa ww ni mkereketwa wa UKAWA, hata profile picture yako inaonyesha.
Lakini wao kama ukawa inabd washikamane katka hali zote mkuuWaacheni Chadema nao wana Matatizo Yao ya ndani Mengi tu.
Angalau Mbowe kapunguza Ubabe na kaanza kusikiliza Wabunge wake kwny kurudi Bungeni na kufuta Maandamano japo katumia neno Viongozi wa dini badala ya Wabunge wenzangu
sio kuwakera tu,wana mpango mahususi wa kuiondoa UKAWA ktk ramani ya Tz..lakini ni ngumu kama kumeza chupa.UKAWA inawakera eeh???
kwi kwi kwi....wala sijapanic mkuu,mi nmekupa ushauri tu,maana mie simooooooo!!!!!!!!!!!!!!!Mbona kama umepanic mkuu
Kwan kuna ubaya gani kujua hali ya jirani...[emoji28] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,mbavu zangu mie...Ukawa tunawatakia mema ndo maana mnapokua na shida tunaguswa kuuliza kunaniiiiiiiii!!!
Nishawazoea. Hawana jipya.Mkuu una pumzi ya kutosha maana hawachelew kuja na lugha chafu hawa.....
duuu,m/kiti wa magereza je?Mbowe keshaongeza ruzuku Ukawa watajiju...
ukiona kwa jirani kunafuka moshi,ujue kuna fukutaNi vema kama hujapanic now lets get back kweny mada mkuu