Yanayojiri LIVE- Glo CAF Awards 2014

Yanayojiri LIVE- Glo CAF Awards 2014

newbie

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
216
Reaction score
48
Ameongea Hayatou,wameperform Owavumi na pia Diamond kutoka Tanzania

UPDATES zinafuata chini kwenye comments
National team of the year- ALGERIA

National women team- NIGERIA

Club bora ya mwaka- ES SETIF kutoka ALGERIA
Promising Talent
Yacini Brahim kutoka ALGERIA. jamaa wanatisha,tuzo zingetolewa nchi ya kiarabu tungesema wamepewa

Young player of the year- ASISAT OSHOALA NIGERIA

Kocha wa mwaka- K Madui wa ES SETIF ya ALGERIA.
sasa anaperfom FALLY
=====================
=====================

The Full Awards


African Player of the Year
Yaya Toure (Cote d'Ivoire and Manchester City)


African Player of the Year – Based in Africa
Firmin Mubele Ndombe (DR Congo and AS Vita)


Women's Player of the Year
Asisat Oshoala (Nigeria and River Angels)


Youth Player of the Year
Asisat Oshoala (Nigeria and River Angels)


Most Promising Talent
Yacine Brahimi (Algeria and Porto)


Coach of the Year
Kheireddine Madoui (ES Setif)


National Team of the Year
Algeria


Women's National Team of the Year
Nigeria


Club of the Year
ES Setif (Algeria)


Referee of the Year
Papa Bakary Gassama (Gambia)


Football Leader of the Year
Moise Katumbi Chapwe - President of TP Mazembe (DR Congo)

African Legend award
Oryx Club (Cameroon) – winners of the maiden edition of CAF Champions League 1964
Stade Malien (Mali) - runner up of the maiden edition of CAF Champion's League 1964


Platinum Award
Dr Kwame Nkrumah (First President of Ghana)
His Excellency Goodluck Jonthan (President of Nigeria)


CAF Finest XI


Goalkeeper: Vincent Enyeama (Nigeria)


Defenders: Jean Kasulula (DR Congo), Mehdi Benatia (Morocco), Stephane Mbia (Cameroon), Kwadwo Asamoah (Ghana)


Midfielders: Yaya Toure (Cote d'Ivoire), Yacine Brahimi (Algeria), Fakhreddine Ben Youssef (Tunisia), Ahmed Musa (Nigeria)


Forwards: Asamoah Gyan (Ghana), Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon)


Substitutes
Raïs M'Bolhi (Algeria), Firmin Mubele Ndombe (DR Congo), Ferdjani Sassi (Tunisia), Yao Kouasi Gervais ‘Gervinho (Cote d'Ivoire), Abdelrahman Fetori (Libya), Akram Djahnit (Algeria), Roger Assalé (Cote d'Ivoire)
 
National team of the year- ALGERIA

National women team- NIGERIA

Club bora ya mwaka- ES SETIF kutoka ALGERIA
 
Sasa hivi inaperform kwaya kutoka South Africa(SOWETO GOSPEL QUIRE). Jamaa wanaimba vizuri sana wimbo wa WAVING FLAG
 
Player of the year.
Yacini Brahim kutoka ALGERIA. jamaa wanatisha,tuzo zingetolewa nchi ya kiarabu tungesema wamepewa
 
Young player of the year- ASISAT OSHOALA NIGERIA

Kocha wa mwaka- K Madui wa ES SETIF ya ALGERIA.
sasa anaperfom FALLY
 
Referee wa mwaka katoka GAMBIA jina gumu kidogo.
Football leader of the year- MOISE KATUMBI mmiliki wa TP MAZEMBE
 
Sasa anaperform ASEMI kutoka GHANA halafu P SQUARE kutoka NIGERIA.
 
Ilitarajiwa Yaya Toure awe mchezaji baro kwa mara ya 4, akimfikia Samuel Etoo Fils! Mwaka wa 4 mfululizo?
 
2009241_img20150108222538_jpeg90dc4609aee0da5fa3b5456feaff71cf
 
Back
Top Bottom