Nawashukuru wana jf kwakuchangia vzr topic ya jana iliyohusu kwanini ccm waingilie elimu?. Leo siko mbali na mada hyo, ndg zangu hebu tutafakari pamoja toka Jk na M7 wazomewe UDSM, mteule wao mkuu wa chuo hajaacha kuwafukuza wasomi we2. Je kwanini 2sifikiri kuwa anatekeleza maagizo ya aliyezomewa? Kama jk alitaka kuepuka kuzomewa alipaswa atekeleze aliyoahdi, Oh! Hakuna mtoto wamaskini atakayekosa mkopo! Leo weng waliopata mkopo sio walengwa halafu anategemea asizomewe? Alifikiri UDSM ni kama vijijin ambako wamezoea kushangiliwa 2 huku wanakijiji wakiwa wamefunga kanga na vitamba vya ccm? NO!! mlimani nikwa wa2 intellectual wenye uwezo wakuhoji, na hiyo ndo kazi yawasomi kuhoji why this and not that sio kila ki2 ndio mzee! Hakuna, muda waku2mia ujinga wawatz kuwatawala umekwisha Tumeelimika, na bdo CHADEMA WANA2ELIMISHA HDI HUKU VIJIJIN KWE2 NANDO MAANA HATA WASIRA NA NIMROD(Msomi anaeficha elimu yake kwa sababu ya ccm) WALIZOMEWA! Hayo ni manyunyu mvua iko mbioni NAWASILISHA!
kama mnafanya hayo kwa kisingizio cha CDM, ni udhaifu wa kufikiri, na sitaki kuamini kuhoji kwenu eti ni kwa sababu ya CDM, Mie naamini kuhoji kwenu na kuzomea ni kazi nzuri ya watu kama kina DR. Mwami na wenzake wanowapatia macho ya kuona mambo kivingine.
Very truu! Hizi nafasi za kupeana kishkaji ni tatizo sio UDSM tu bali kwa nchi nzima! Wanaopewa madaraka kiswahiba wanageuka watumwa wa waliowateua hata kama ukweli wanauona but still they have to be royal and save the interest of their boss! Siamini kama prof wa ukweli anaburuzwa na wanasiasa na anasahau maslah ya nchi! AibuTukitaka kuinusuru UDSM lazima Mukandara awe out no questions.. na atakaye chukua nafasi yake awe ni msomi huru asiyetawaliwa na itikadi za kisiasa
Tukitaka kuinusuru UDSM lazima Mukandara awe out no questions.. na atakaye chukua nafasi yake awe ni msomi huru asiyetawaliwa na itikadi za kisiasa
unafikiri kwa kutumia masaburiHv we una2mia masabuli ktk kufikir,hawezekan kutaka hak bila ya wajibu,na wale vihelehele ndio watapungua kila ck,muulize mbatia mpaka leo degree yake kamalizia wapi!ndio maana daruso leo wametoa hoja mbadala,ebu 2fanye kilicho2ta chuon
Huna lolote wewe zaidi ya njaa,umepewa visent kdg na mnyika na mbowe vinakuhangaisha.chadema ni kama nccr,cuf na tlp.angalia nccr wanavoaibika kigoma.jifunze kijana utaaibika
Ni muhimu wananfunzi wajue kuwa wanakwenda chuoni kutafuta elimu siyo kuwa watetezi wa vyama vya kisiasa. Wanafunzi wana haki ya kudai haki zao lakini kwa wahusika na kwa wastaarabu. Mikopo inatolewa na Bodi ya mikopo inakuwaje wananfunzi wakawalaumu wakuu wa vyuo? Kama kweli wanafunzi wetu ni wasomi kama wanavyodai basi wameshindwa kiliona hilo.
Kitendo ch wanafunzi kudharau taratibu za chuo hasa kuingilia mambo ya mitihani hakiwezi kuvumiliwa kabisa. Vyuo vipo kwa kutoa taaluma na wanahitimisha hilo kwa kutoa mitihani.
Waliofukuzwa UDSM waliomba kufanyiwa hivyo na wamepata walichokuwa wanakiomba. Wasilalamike.
Tukitaka kuinusuru UDSM lazima Mukandara awe out no questions.. na atakaye chukua nafasi yake awe ni msomi huru asiyetawaliwa na itikadi za kisiasa