walikuwa wanakuja kwa kiwango kidogo... ukiangalia trend ya watalii nazani ina anza kwenda mbele... na hata wageni ambao ni world classes wana ongezeka mara dufu....Kwa hiyo zaman walikua hawaji?Abromavic Roman,
Ndugu yangu kabla hujajibu hilo swali ungetembelea kwanza kampuni za utalii uangalie cancellation zilizotokea toka VAT imeanzishwa kwenye biashara ya utalii. usingekuja na jibu lako la kufikirikawalikuwa wanakuja kwa kiwango kidogo... ukiangalia trend ya watalii nazani ina anza kwenda mbele... na hata wageni ambao ni world classes wana ongezeka mara dufu....
na wageni hao wana saidia pia ktk kutangaza vivutio tulivyo navyo... na pia maonesho ya utalii ya kule ujerumani ni chachu tosha ktk hili, maana huwa hatu hachi kwenda kutangaza tulivyo navyo