Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Jaman leo hii na mda huu ninaoandka hii thread ni kama dakika 20 hv zmepita nimetoka kukutana na mdada m1 hv hapa m.city cmjui wala hanijui nkamfuata na kupga nae story sana tu nkamchekesha sana tu na nini ..
Sasa wakat 2nataka kuachana,nkamuomba namba yake ya simu,bac mazungumzo ye2 yakawa hv...
GT ; sasa bishost ntoe contact zko kama vp...yoo
JACK ; gimmie yours...
GT ; 071......3 (Akawa anaisave kwny 4n yake)
JACK ; sasa GT nipe ela ya vocha bac ya kukupgia at least Ten thousands....
Hee hee sasa dada zangu hii tabia mmeanza ln?Achen hzo bhana.....yoo
We unataka akupigie kwa credit yake kwa lipi haswa??
Kam aunataka akutafute wakati hamna mpango wa maana muwezeshe!!
Kumbe umejichekelesha mwenyewe huna wa kumlaumu
ndo elfu kumi?..yoo
Sasa usilalamike 10,000.00 unapiga mayowe kama mill. we vipi hujawahi kuhonga nini?sasa ultaka ni nune?me mtoto wa pwan wee...kucheka ndo zangu..yoo
Lose the ''yoo''....sounds lame!!
We ulitaka buku??
Sasa usilalamike 10,000.00 unapiga mayowe kama mill. we vipi hujawahi kuhonga nini?
umenifurahishaa sanaa mzee wa rula nimependaa jibu lako ulilompaa chaliii...ten thouuu,kelelee mingiii arifu,sawa sawaa na miatano ya keiiiiii.we ulitegemeaa zipii kama ulileta za kisharo brozoooo...etii yooo.
Great thinker na wewe unaandika Ki' facebook siku hizi.