Yamenikuta

Inawezekana chanzo cha ugomvi wenu ni ushirikina wenu!
 
mganga wa kienyeji. hahahaahhahahahaah anakutakia mabaya huyo si wamepigwa marufuku hao waganga wa jadi
 
Kuna jamaa alikuwa anatafuta kazi akapewa namba ya mganga na kuhakikishiwa akipiga hiyo namba lazima apate kazi. Hata hela ya vocha alikuwa hana akaomba, kapiga simu na akapewa maelekezo ya kufika ofisini kwa mganga bila kujua anaenda kwa mganga Alipotoka huko kichapo na matusi aliyopata aliyemdanganya hatakaa asahau. Na urafiki wao uliisha siku hiyo.
 

Ha haaa... Kuna viroja aise
 

Haa jamani kumbe ndio ilivyokuwa....pole mkuu
 

Sijaelewa ...ww nae yanekukuta au ndio ..
 
duh mshukuru sana ni pm namba yake uyo dem wako nimpongeze maana mbunifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…