Yamenikuta

kibunange

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
165
Reaction score
148
Kuna msichana ninezinguana nako kam 1 week ago.Alichofanya kachukua namba yangu ya simu kaandika bango na kabandika kwenye mti eti "MGANGA WA KIENYEJI TOKA NIGERIA."

Sasa napata simunyingi za kipumbavu every second jamani, wengine wananiongelesha kingereza cha kulazmisha cha kibongo ze ze nyingi.

Natamani kutupa line

��������
 
sasa umegundua bango alipoliweka....!!!!!!!!
 
♣ í-¼í·²í-¼í·¦í-¼í·¹í-¼í·ºí-¼í·µí-¼í·º.
 
Hellow chief Ifediba, heeeeeeee I will kill yoooooooo, utajuta kidingi
 
Nawewe kabandike bango weka jina lake!
 
buhahahahahahah jombaa tupe na maandazi au chapati tushushie
 
Hahahaha duuu iyo kali asee namimi ngoja niweke bango kuna kademu kanajifanyaga mjanja kunipiga kibutiii
 
Natamani kutupa line lakini ndio naitumia kwenye deals zangu itakuwa msala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…