lane
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 908
- 513
Wakulungwa salama?
Nimekuwa kwenye mahusiano yasio rasmi na binti mmoja hivi. Yeye anadai ana boyfriend wake. Na mimi nimeoa, nina familia
Sasa basi, tumekuwa na mahusiano na huyu mdasa kwa muda kama miaka miwili sasa. Lakini hapa mwishoni tukaongea na kukubaliana kuacha/kusitisha mahusiano kwa sababu kadhaa mojawapo ni kwa sababu kila mtu ako na commitment sehemu.
Sasa basi, leo nimekutana na huyo binti, na nyege hazina adabu tukakumbushia tulipoishia. Tukatombana tena. Ile nimemaliza tu demu anaaga kwenda, akaniambia ana ujauzito wa miezi mitano! Duuuuh niliishiwa nguvu. Nilichoka. Nikamuomba sana kwamba sipo tayari kuwa na watoto nje ya ndoa, ila aligoma kabisa. Na kwamba yeye hawezi kutoa mimba
Namuuliza kwanini hajasema muda wote ana mimba, kajibu kwa sababu mawazo ya kutoa mimba hana! Lazima azae
Naomba ushauri, NIFANYEJE? Nimeshalikoroga tayari. Nina hofu kuharibu amani ya familia yangu
Naombeni USHAURI (kejeli na matusi acheni kwanza)