Yamempata aliyonifanyia

MLALUKO JR

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
962
Reaction score
309
Mimi ni kijana umri 22 sijaoa, bado nipo chuo.Kuna dada mmoja tuliowahi kuwa wapenzi wakati wa kidato cha pili 2008. Kwangu ilikuwa first love nilimpenda sana japo alinitongoza mwenyewe ilikuwa haipiti siku bila kwenda kwao kifupi nilimzoea sana. Ilitokea kitu nisichokielewa mpaka kesho kwani alinitumia barua kwamba hanitaki tena niliumia sana ila nilizoea baadae na kujiapza kusoma kwa bidii ili nifanikiwe kimaisha na kupata heshima.

Mwaka mmoja uliopita yeye akiwa chuo cha ualimu grade A alinambia amepta mchumba wanaotaraji kuona baada ya kumaliza chuo na hata alikuwa ananitumia sms huku ameweka signature ynye jna la jamaa yke. Lakini baadae nilishangaa amefuta saini ghafla nikajua yamechujuka tayari, kikubwa ninashangaa sasahivi nikiacha kimtafuta kama wiki ananitumia sms kwamba nimemsusa lakini nilikwishamjuza kwamba ninae mwingine. Lakini anaonesha mapenzi tena nifanyeje? Au nimgegede alafu ni mlipe kibuti na machungu aliyonipa kabla, kwani ningeweza fail NECTA form two.

Nawasilisha
 
Hatari na nusu, na nusu nayo ni hatari kamili.
 
Hii Kitu Mods Futa Haraka
Big Results Now (BVR)
Ni Shida Sana

Unawahi Mapenzi
 
Nenda ukasome. Ujifunze hata kuandika vizuri maana kama mwandiko tu ni tabu mapenzi utayaweza na huyo mtoto mwenzio..??
 
Hhhhaaaaa haaaa .daaah !
BRN na mapenzi kama skin tyt na ngozi.
 
Hivi bado kuna watu wanaandikiana Barua?
 
Pole bro fanya yako na mpenzi wako... achana nae... ukimrudia utapoteza uelekeo as maisha yako
 
Jf inavitoto vidogo kweli vinavyokula ugali wa nyumbani wanakuja kuunyea huku
 
Msaada Tafadhali:

Hivi kugegeda maana ake nini? nimekua nikiliona sana hili neno hapa JF hasa MMU hata mtoa mada hapo juu amelitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…