Yaliyonipata jana usiku sina hamu.........!

hivi watoto watoka wapi huku? jukwaa la elimu hawalioni? huu ni utoto alimia 100
 
nadhani huyo mdada yupo sawa. Ni hiari yake kukubali au kukataa. Wewe unaumia kwasababu hujageda. Pole sana.
 

ww nawe mbakaji kama yulee wa mwananyamla kwenye zuria
 
Huu ni utoto++

Hadithi hii inatufundisha mwanamke akiwa na majini atazimia wakati wa kugegedwa
 

Hilo jini nalo limenikera! Lingekukaba ndio akili ingekukaa sawa na hapa ungekuja kuandika vitu vinavyoeleweka
 
Reactions: Luv
umerisit mara ngapi ?maana inaonekana mwaka huu ndio ya nne
 
mwisho wa siku huku jamvini nako 2taonekana kama tuko fb,tujilekebisheni mbona mnaleta maada za kijinga puuuuuuuuuuummmmmbbbbbbbbaaaaaaaavvvvvvvvvvuuuuuuuuu ntakutumbua tumbua.....!
 

Hivi mtu akikuuliza lengo la hii thread ni nini utajibu?
Humu kuna vichaa wengi sana.
Yani mtu huna uhusiano nae alaf unategemea akubali ufanye nae mapenzi?

kwanza huyo ni msichana wa aina gani, nae kaitwa geto kakubali.sasa hapo siamesha gundua kuwa lengo lako ni penzi tuu?
 
Sawa Side Mnyamwezi....

endelea kujitafutia ushuhuda!!!
 
Uache udivision five hapo fb sio jf.
 
wengine utazani mmeshikwa na tumbo la kuhara bwana mtu unaandika vitu havieleweki ume log in ili iweje kama huwezi kuandika kitu kikaeleweka unakimbizwa na nini mnakela watu ea design yenu
 
Namie nilofungua hii thread halaf nikasoma mwisho hashuo ya kuchangia ikanijia bas pia mpumbav....... Dah najuta ila ndo hakuna jinsi upumbav tena inaonekana jamaa anakatwa kidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…