yaliyonikuta duh! ckuwa na jins!

yaliyonikuta duh! ckuwa na jins!

Sheck boy

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
22
Reaction score
2
Narud nyumban taaaa! kukuta mke wang yuko na mwanaume mwingne nikasema haaa!, atakaekuelewa ninan akat uko na mwanaume mwingne, iv ni mwingne eee! nkamwuliza mke wang, ameenda sawa,nkamuulza jamaa umeenda sawa kwa mke wang? umeenda saw? akasema nimeenda sawa. Nikakasirika nikaingia uvunguni taaah! nkachomoa panga, eti! ucniuwe ndugu yang ucniuwe,nakuomba nkamwambia, sasa ww mm nlikuja hapa kuchukua pang nkamalizie kuchinja ng'ombe, malizien mambo yenu mje mchukue nyama mmenifurahsha sana,cku nyingne mfunge mlango, pumbaf sana!!! UC-OMBE IKAKUKUTA HYO DAAAH!!
 
Kinyambi kweli wewe!

Sent from JamiiForums
 
Back
Top Bottom