Mpangawangu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 887
- 965
Sasa Jf karibia itakuwa jukwaa la uzushi na udaku
Umekua udaku kisa hupendi kusikia chadema inaambiwa ukweli? Haya tupe ukweli wako.
Jahazi la chadema limezidi kuzama,hii ni baada ya wananchi wa kigoma kusisitiza msimamo wao wa kuikataa chadema.haya ndiyo yaliyojiri mkutano wa leo.
Benson Kigaila azomewa kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika
Mwanga center kigoma mjini baada
ya kusema Zitto Kabwe alipewa hoja
ya Bunzwagi na sekratarieti ya CDM
na kwamba hoja wanazotoa
wabunge wa CDM bungeni si zao ni
za chama watu wakigoma
wamepata mshituko mkubwa Kigaila
aliposema CDM makao makuu huwa
inateuwa viongozi toka Kigoma kwa
kuwasaidia na kwa upendeleo
maalumu kwani wanakuwa hawana
sifa na vigezo akatolea mfano
Dr.Kaborou,Zitto,Shaban Mambo na
Sabrina Sungura na akaeleza
sababu ya kupendelewa kasema ni
kura ambazo chadema hupata
Kigoma kwenye chaguzi mbalimbali
nchini alipozungumza kauli hiyo
ndiyo zomeazomea ikazidi.
Na leo ndio ametangaza timu mpya
aliyoisimika Kigoma kwenye
mkutano huo wa hadhara na kuacha
majonzi mjini Kigoma baada ya
kuwa viongozi wote walioteuliwa
hawakubaliki kabisa na Watu wa
Kigoma.
Na watu wakigoma wakaanza
kuzomea tena na huku wakisema
watu hao hawana uwezo wa kuvaa
viatu vya Alhaji Kasisiko,Shabaani
Mambo na Msafiri Wamalwa.
Ni majonzi makubwa Kigaila Leo
Kigoma.
Watu wa Kigoma wameomba
viongozi wa ACT-Tanzania waende
na kadi za kutosha kwenye mkutano
wa hadhara utakaofanyika kesho
Ujiji "Cine Atlas" na gari
linalotangaza huo mkutano mjini
Kigoma linashangiliwa sana kila
eneo linakopita.
... Uzushi Tu. Mkutano Ulifanyika Saa Ngap, Acha Maji Taka
Huyu ni kati ya wale kura hazikutosha tusimlaumu bali tumpe nafasi atume salamu hata kwa watu watatu tu
anza na Yuda na wengine ...
Jahazi la chadema limezidi kuzama,hii ni baada ya wananchi wa kigoma kusisitiza msimamo wao wa kuikataa chadema.haya ndiyo yaliyojiri mkutano wa leo.
Benson Kigaila azomewa kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika
Mwanga center kigoma mjini baada
ya kusema Zitto Kabwe alipewa hoja
ya Bunzwagi na sekratarieti ya CDM
na kwamba hoja wanazotoa
wabunge wa CDM bungeni si zao ni
za chama watu wakigoma
wamepata mshituko mkubwa Kigaila
aliposema CDM makao makuu huwa
inateuwa viongozi toka Kigoma kwa
kuwasaidia na kwa upendeleo
maalumu kwani wanakuwa hawana
sifa na vigezo akatolea mfano
Dr.Kaborou,Zitto,Shaban Mambo na
Sabrina Sungura na akaeleza
sababu ya kupendelewa kasema ni
kura ambazo chadema hupata
Kigoma kwenye chaguzi mbalimbali
nchini alipozungumza kauli hiyo
ndiyo zomeazomea ikazidi.
Na leo ndio ametangaza timu mpya
aliyoisimika Kigoma kwenye
mkutano huo wa hadhara na kuacha
majonzi mjini Kigoma baada ya
kuwa viongozi wote walioteuliwa
hawakubaliki kabisa na Watu wa
Kigoma.
Na watu wakigoma wakaanza
kuzomea tena na huku wakisema
watu hao hawana uwezo wa kuvaa
viatu vya Alhaji Kasisiko,Shabaani
Mambo na Msafiri Wamalwa.
Ni majonzi makubwa Kigaila Leo
Kigoma.
Watu wa Kigoma wameomba
viongozi wa ACT-Tanzania waende
na kadi za kutosha kwenye mkutano
wa hadhara utakaofanyika kesho
Ujiji "Cine Atlas" na gari
linalotangaza huo mkutano mjini
Kigoma linashangiliwa sana kila
eneo linakopita.
Duuuh ccm kumbe ina vibaraka hadi jf