Yaliyojiri: Klabu bingwa ya Aafrica: Yanga vs Zanako

njiapanda2017

Member
Mar 6, 2017
45
15
Leo kutakuwa na pambano la michuano ya klabu bingwa ya Africa ka ti ya Yanga na Zanaco

Kikosi cha Yanga

17201148_1517254558317072_2528751555261326853_n.jpg

======================
Mpira umekwisha kwa kila timu kupata goli moja, timu hizo zitarudiana nchini Zambia ili kupata timu itakayofuzu kwenda hatua inayofuata

'90 Yanga 1 - Zanaco 1

'77 Yanga 1 - Zanaco 1

Goal Alert
; Kwame anaisawazishia goli Zanaco

Kipindi cha pili kimeanza: Yanga 1 - Zanaco 0

17201298_1517405581635303_5044513222164367683_n.jpg


Halftime
; Mpira ni mapumziko sasa

'45 Yanga 1 - Zanaco 0

'40 Yanga 1 - Zanazo 0

Goal Alert; Yanga wanapata goli hapa, Simon Msuza anaipatia Yanga goli la kwanza

'25 Mpira ni mzuri na una upinzani

'15 yanga 0 - Zanaco 0 , Ngoma yuko chini ameumia

'5 Yanga 0 - Zanaco 0

Mpira Umeshaanza
 
Lwandamina sio mzuri kwenye tactics.Always anafanya substitution za kipumbavu kabisa.Hakuna ufundi wowote alionao Lwandamina.Makocha wengi tu wa kutanzania wangeweza kufanya vyema zaidi yake.

Inashangaza menejimenti ya Yanga inamfuta kabisa Pluijm kwenye safu ya ufundi ya timu.Uamuzi mzuri ulikuwa ni kuachana na Lwandamina na kumrejeshea nafasi ya ukocha Pluijm.Ni kati ya makocha wachache wazuri wakiowahi kufundisha mpira nchini.Anacho kitu cha ziada tofauti na hawa akina Lwandamina.

Hawa makocha wengine wanakuja kula hela za bure tu hapa Bongo.Lwandamina is craaaaap...shoul be sacked
 
Back
Top Bottom