duh....m
Inasikitisha hasa kwa dada zetu,watoto wetu wapendwa wamekwenda kujifunza maisha hata week haijapta Leo napigiwa cm Usiku Huu at kuna askari mmoja anamlazimisha Mdada Mapenz kakataliwa amemuanzishia visa huko kamb ya oljoro Arusha.Nimesikitika sana,JF tufanyeje mm nimemshauri aende kwanza kwa kiongoz wake no response nategemea niwapandie hukohuko nimchomoe my lovly sissy.Mwaka Jana amin msiamin weng wamebakwa...naomba kuwasilisha.
haya kamchukue ur lovly sis mpeleke chuo kuna malecturer tena utamtoa mlete mtaani kuna wazee wa kitaa acha bint akumbane na changamotoInasikitisha hasa kwa dada
zetu,watoto wetu wapendwa wamekwenda kujifunza maisha hata week
haijapta Leo napigiwa cm Usiku Huu at kuna askari mmoja anamlazimisha
Mdada Mapenz kakataliwa amemuanzishia visa huko kamb ya oljoro
Arusha.Nimesikitika sana,JF tufanyeje mm nimemshauri aende kwanza kwa
kiongoz wake no response nategemea niwapandie hukohuko nimchomoe my
lovly sissy.Mwaka Jana amin msiamin weng wamebakwa...naomba
kuwasilisha.
Haaaah dunia haina huruma, hivi kwani asipoenda jeshi atakuja pata impact ipiii?? In future
impact kubwa ni kuolewa na mimi
kama demu wako ni mkali, tayari ameshakua chakula ya wakubwa. ila usiwaze haina makombo ile.Binafsi mchumba wangu yuko ccp tangu mwezi wa 11 sijawahi kumuona sijui hali yake kwa kweli najiuliza kweli karuka vikwazo vya huko salama..?
Mara nasikia wako kilelepori eti miez mi2 yaaniii sasa unapokuja na hizi habari kwa kweliiii naumia roho niajeee
jamaa poule sana ndo maisha hayo Jah live mwombe amshike mkono dadako huko alipo.....
Binafsi mchumba wangu yuko ccp tangu mwezi wa 11 sijawahi kumuona sijui hali yake kwa kweli najiuliza kweli karuka vikwazo vya huko salama..?
Mara nasikia wako kilelepori eti miez mi2 yaaniii sasa unapokuja na hizi habari kwa kweliiii naumia roho niajeee.....mkuu Mentor nafikiri wewe anayajua mambo yahuko vyema hembu njoo ututoe wasiwasi kidogo banduguu..