TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Kulikuwa na thread leo (19.03.15) ikidai kuwa Zitto angeaga wabunge leo. Sijasikia kama tukio hilo limetokea, au taarifa zilikuwa uzushi tu!?
Huo ni umbea tu badala ufanye kazi we unakaa na kukodoa macho kwenye screen ya tv eti Zito kuanga. Aya baada ya kuaga utafaidika na nini