Bunge la 11 la Jamuhuri ya Mwa Tanzania, kikao cha 4, mkutano wa 3
Kipindi cha maswali na majibu
Swali: Serikali ina mpango gani wa kutatua tatatzo la maji jimbo la Kigoma Kaskazini?
Majibu: Mkandarasi ameshapatikana wa kutekeleza mradi huo wa maji katika jimbo hilo. Baadhi ya vijijini vilivyopo kwenye jimbo hilo vimeingizwa katika mradi.
Aidha tatizo lilikuwa ni fedha na kwa sasa fedha zimeshapatikana.
Naibu waziri wa Maji anongeza kuwa miradi yote ambayo haikukamilika kwa awamu ya kwanza, ndiyo serikali itaanza kushughulikia awamu hii.
Swali: Viwanda vingi vya Moshi vimegeuka maghala ya kuhifadhia bidhaa, serikali isikabidhi kwa wawekezaji.
Majibu: Haitawalipa malipo ya nyongeza waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda cha magunia moshi na kiwanda cha mbao.
Waziri asema kuwa inadhibiti bidhaa zinazotoka nje, viwanda vingi vilikufa sababu ya kuingiza bidhaa kutoka nje.
Aidha ameongeza, wawasiliane kuhusu swala la maslahi ya wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Serikali itatumia utaratibu wa kisheria kuchukua viwanda vilivyo kwa wawekezaji wanaoshindwa kuviendesha.
Kuhusu majengo ya kiwanda cha Mwanza Tanaries kugeuzwa kuwa chuo; katibu mkuu wa viwanda, alifika kuhakikisha kiwanda kitafanya kazi na chuo kuendelea kama kawaida.
Swali: Wastaafu kutolipwa mafao, watumishi wangapi wamestaafu toka Januari hadi disemba 2015 na ni wangapi wamelipwa mafao yao?
Majibu: January hadi Disemba; 7055-walistaafu, waliolipwa mafao ni 3998.
Ambao hwajalipwa ni kutokana na upungufu wa nyaraka muhimu.
Swali la Nyongeza: Ni lini serikali itaanza kuwalipa pension ya kila mwezi?
Naibu Waziri: Waliomba wenyewe kulipwa miezi mitatu mitatu. Serikali ipo tayari kuwalipa kila mwezi kwa makubaliono.
Swali la Nyongeza: Wastaafu wa PSPF hawalipwi kwa kiwango sahihi.
Niabu Waziri: Kuanzia Disemba 2015, wastaafu wanalipwa kama inavyostahili
Swali: Kipimo gani kinachotumika kukokotoa kodi kwa bidhaa kutoka Zanzibar kuja Bara?
jibu: Import export commodities exchange. Bidhaa zikishafika huingizwa kwenye import export commodities database.
Bidhaa zinazotoka zanzibar zinatozwa kodi kutokana na kwamba Zanzibar haijajiunga na mfumo huu.
Swali: Serikali imejipangaje kuwafidia wananchi amabao mikorosho yao imeangamia kwa ugonjwa wa mikorosho?
Majibu: Serikali ina jukumu la kuwahudumia wananchi wake.
Serikali pia inafanya majaribio ya viwatilifu.
Naibu Waziri: Baada ya bunge la bajeti serikali ipo tayari kwenda Mkuranga kuangalia namna ya kuwasaidia wananchi.
Swali: Ni lini mgogoro wa wakulima na wafugaji Kilosa utaisha?
Jibu: Serikali kupitia uongozi wa mkoa itapima na kuhakiki upya maeneo, ina mpango wa kupima vijiji vyote pia uongozi wa mkoa umeunda kamati ya usuluhishi.
Mkoa umemuomba rais afute hati ya mshamba 6 kwa wamililiki wasioendeleza, rais amefuta na kwa sasa yatagawanywa kwa wananchi.
Swali: Ni lini serikali itawapatia makazi bora JWTZ?
Jibu: Serikali itajenga kwa awamu mbili; Awamu ya kwanza, Kujenga nyumba 6064 na Awamu ya pili nyumba 3034.
Mradi huo umeshaanza Unguja na Pemba.