Yaliyojificha kesi ya Freeman Mbowe

Yaliyojificha kesi ya Freeman Mbowe

Joined
Jul 22, 2021
Posts
7
Reaction score
5
Kesi si tatizo, ziliwahi kuwapo, zipo na zitakuwepo huku maelfu kwa maelfu wakifungwa na hivyo Mbowe ni binadamu kama hao Wala si Malaika, naye kufungwa si Jambo la ajabu lakini tuyatafakari haya;

Tanzania kama sehemu ya Afrika, imekuwa katika nafasi ya juu Sana kwa masuala ya kufuata haki za binadamu kwa kusaini mikataba mbalimbali ya kitaifa na Kimataifa juu ya masuala ya Demokrasia, utawala bora na haki za binadamu kuanzia ngazi za mitaa, Taifa, jumuiya za kikanda, Jumuiya ya Afrika na Jumuiya za Kimataifa Hadi Umoja wa Mataifa.

Kutokana na Mataifa ya Afrika kuwa na rekodi mbaya katika kuheshimu haki za binadamu na utawala bora ikiwemo siasa safi, kuachia madaraka kwa amani na kumtenganisha mihimili mikuu ya dola kwa kufanya kuwa huru katika maamzi, Tanzania imeendelea kuwa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kwa miongo kadhaa tangu Misingi hiyo ilipowekwa na WAASISI wa Taifa hili wakiwemo Mwl. Julius Nyerere na Hayati Abeid Karume ambao walivunja mianya ya fitina, chuki, ukabila, ukanda, udini, uchu wa madaraka na wakaanzisha vyama vingi ili nguvu ya madaraka ya nchi yawe kwa wananchi wenyewe waweze kuwawajibisha watawala waovu

Hata hivyo, rekodi hii taratibu ilianza kupata doa baada ya chaguzi za kisiasa kuanza kumilikiwa na Chama kimoja kibabe huku vyama vingine vikivishutumu vyombo vya ulinzi na usalama kuwasaliti watanzania na kuwa sehemu ya Chama Tawala Cha siasa ambacho vinadaiwa kukisaidia kuwapa madaraka wagombea wake hata ikiwa hawajachaguliwa na wananchi.

Mmomonyoko huu wa maadili ya kisiasa ambao ni hatari kwa amani na USTAWI WA JAMII umeendelea kuimarika Hadi kufikia hatua ya wakosoaji wa watawala kuhamishiwa makazi yao magerezani kwa kesi lukuki ambazo zimekuwa zikiendeshwa kwa Muda mrefu huku washitakiwa wakiwa magerezani kwa kunyimwa dhamana ama kesi zao kuwa za makosa yasiyokuwa na dhamana kwa mujibu wa sheria za nchi hii.

Mifani ipo mingi huku Uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2019 na uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, kesi mbalimbali za Viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani pamoja na kesi mbalimbali za vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazowakosoa watawala ni sehemu ya mifano halisi ya jinsi Tanzania inazidi kupoteza heshima yake ya kuwa kisiwa Cha Demokrasia na amani Barani Afrika.

Katika hatua inayomsikitisha kila mzalendo, Licha ya Kesi hizi kuwachafua watawala na kutia doa heshima ya nchi yetu, bado zimeendelea kutumika kuwadhibiti wakosoaji wa watala na kulisababishia Taifa kashfa na hata kuanza kususwa na Mataifa marafiki wa maendeleo na hata kushtakiwa katika Jumuiya za Kimataifa.

Kesi ya Freeman Mbowe ni moja ya kesi kadhaa ambazo mwenendo wake kuanzia hatua ya awali hadi mwisho wake zinafuatiliwa kwa karibu na watanzania wengi, nchi marafiki wa maendeleo, asasi za kiraia zikiwemo Taasisi za dini na Jumuiya za Kimataifa huku mabaya yote yatokanayo na kesi hii yakielekezwa wa watawala

Mivutano ya pande zinazoshiriki maamzi ya Kesi hii huko Kisutu Mahakamani, mitifuano inayofanyika kati ya jeshi la polisi na raia wanaokwenda kushiriki kusikilizwa kwa shauri hilo pamoja na changamoto za kiteknolojia na kimifumo ambazo zimekuwa kwa namna moja ama nyingine zikipelekea uendeshaji wa kesi hiyo usiwe kama ilivyopangwa ni sehemu ya mambo yanayorekoriwa na kutunzwa kwa matumizi yatakayoishia kuwachafua watawala na Taifa letu. Ukweli Ni kwamba kumshikiria mwanamichezo kesi yake itahusishwa na michezo na kumshikiria mwanadiplomasia kesi yake itakuwa na mwitikio mkubwa kwa wanadiplomasia hivyo, Kesi ya Mbowe ni ya kisiasa na inafuatiliwa na wanasiasa na matokeo yake yanatafsiri mwenendo wa siasa za TANZANIA chini ya utawala uliopo.

Japo si wote tunaweza kujua, ukweli Ni kuwa Kesi ya Mbowe inatangaza duniani kuwa Tanzania Kuna ugaidi kupitia mashtaka menyewe, kesi ya Mbowe inatangaza kuwa wapinzani Tanzania wanapambana na serikali kwa kufungwa na kesi zisizoisha, kesi ya Mbowe inagombanisha raia na polisi kupitia vurugu Kati ya polisi na raia mahakami kila Siku ya kesi, kesi ya Mbowe inatengeneza kioo kwa dunia kutasmini Uhuru wa Mahakama na uhusiano wa Mahakama na matawi mengine ya dola, yote haya si mambo mazuri Sana.

Nani anayenufaika na kesi hii? Je Mbowe ni hatari kwa watanzania ama ni tishio kwa watawala? Je Mbowe akiachiwa huru kipi kitatokea kwa watanzania na kwa watawala? Je Mbowe akihukumiwa gerezani kipi kitatokea kwa watanzania na kwa watawala? Ni maswali magumu kwani majibu yake yanahitaji uhuru dhidi ya milengo ya kimtazamo na uzalendo wa kweli usio na dalili za maslahi binafsi.

Lakini Tanzania bado ni shwari, watawala wetu ni wasikivu, japo Kuna mapungufu ya kikatiba yanayosababisha yote haya, Bado Mahakama, Bunge na Watawala kwa Tanzania ni vyombo vinavyotekeleza majukumu yao kwa ushirikiano katika kutafuta suluhu ya masuala yanayoleta taharuki kwa watanzania na hata kwa nchi dhidi ya nchi zingine, bado ninasali na kuamini hata hili litamalizwa kwa hekima kama mengine mengi yaliyopita.

*Kuchafuka kwa Watawala wa nchi ni kuchafuka nchi, kushtakiwa wa nchi ni kushtakiwa kwa wananchi wa nchi husika, kususwa kwa mtawala wa nchi na nchi marafiki ni kususwa kwa wananchi wa nchi husika, hivyo, Kila mmoja kwa nafasi yake asimame imara kuhakikisha Rais wetu na Viongozi wakuu wa nchi hawachafuliwi na maovu haya yanayoepukika kabla hayajafikia katika hatua za kuwachafua na kuligharimu Taifa, Tafakuri jenzi.
 
Umeanza vizuri,ila umemalizia kwa kuonyesha marengo wako,hapa unajaribu kuwajenga wanaotuharibia taifa letu.
 
Tulishasema shida ni katiba na siro hawataki kusikia acha meli izame.
 
Uchu wa madaraka wa viongozi wetu ni tatizo. Sikuwahi kumhisi mama kuwa na uchu kiasi hiki!
 
*Kuchafuka kwa Watawala wa nchi ni kuchafuka nchi, kushtakiwa wa nchi ni kushtakiwa kwa wananchi wa nchi husika, kususwa kwa mtawala wa nchi na nchi marafiki ni kususwa kwa wananchi wa nchi husika, hivyo,

Kila mmoja kwa nafasi yake asimame imara kuhakikisha Rais wetu na Viongozi wakuu wa nchi hawachafuliwi na maovu haya yanayoepukika kabla hayajafikia katika hatua za kuwachafua na kuligharimu Taifa, Tafakuri

We jamaa mbona unashangaza kidogo?

Kila mmoja asimame vipi kumtetea Rais iwapo yeye mwenyewe kaamua iwe hivyo, yaani achafuke?

Serikali yote kuanzia Rais hadi huku chini ni tatizo na yote inapaswa kuondolewa/kuwajibishwa na kupisha watu wengine...!!
 
Kesi si tatizo, ziliwahi kuwapo, zipo na zitakuwepo huku maelfu kwa maelfu wakifungwa na hivyo Mbowe ni binadamu kama hao Wala si Malaika, naye kufungwa si Jambo la ajabu lakini tuyatafakari haya;

Tanzania kama sehemu ya Afrika, imekuwa katika nafasi ya juu Sana kwa masuala ya kufuata haki za binadamu kwa kusaini mikataba mbalimbali ya kitaifa na Kimataifa juu ya masuala ya Demokrasia, utawala bora na haki za binadamu kuanzia ngazi za mitaa, Taifa, jumuiya za kikanda, Jumuiya ya Afrika na Jumuiya za Kimataifa Hadi Umoja wa Mataifa.

Kutokana na Mataifa ya Afrika kuwa na rekodi mbaya katika kuheshimu haki za binadamu na utawala bora ikiwemo siasa safi, kuachia madaraka kwa amani na kumtenganisha mihimili mikuu ya dola kwa kufanya kuwa huru katika maamzi, Tanzania imeendelea kuwa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kwa miongo kadhaa tangu Misingi hiyo ilipowekwa na WAASISI wa Taifa hili wakiwemo Mwl. Julius Nyerere na Hayati Abeid Karume ambao walivunja mianya ya fitina, chuki, ukabila, ukanda, udini, uchu wa madaraka na wakaanzisha vyama vingi ili nguvu ya madaraka ya nchi yawe kwa wananchi wenyewe waweze kuwawajibisha watawala waovu

Hata hivyo, rekodi hii taratibu ilianza kupata doa baada ya chaguzi za kisiasa kuanza kumilikiwa na Chama kimoja kibabe huku vyama vingine vikivishutumu vyombo vya ulinzi na usalama kuwasaliti watanzania na kuwa sehemu ya Chama Tawala Cha siasa ambacho vinadaiwa kukisaidia kuwapa madaraka wagombea wake hata ikiwa hawajachaguliwa na wananchi.

Mmomonyoko huu wa maadili ya kisiasa ambao ni hatari kwa amani na USTAWI WA JAMII umeendelea kuimarika Hadi kufikia hatua ya wakosoaji wa watawala kuhamishiwa makazi yao magerezani kwa kesi lukuki ambazo zimekuwa zikiendeshwa kwa Muda mrefu huku washitakiwa wakiwa magerezani kwa kunyimwa dhamana ama kesi zao kuwa za makosa yasiyokuwa na dhamana kwa mujibu wa sheria za nchi hii.

Mifani ipo mingi huku Uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2019 na uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, kesi mbalimbali za Viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani pamoja na kesi mbalimbali za vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazowakosoa watawala ni sehemu ya mifano halisi ya jinsi Tanzania inazidi kupoteza heshima yake ya kuwa kisiwa Cha Demokrasia na amani Barani Afrika.

Katika hatua inayomsikitisha kila mzalendo, Licha ya Kesi hizi kuwachafua watawala na kutia doa heshima ya nchi yetu, bado zimeendelea kutumika kuwadhibiti wakosoaji wa watala na kulisababishia Taifa kashfa na hata kuanza kususwa na Mataifa marafiki wa maendeleo na hata kushtakiwa katika Jumuiya za Kimataifa.

Kesi ya Freeman Mbowe ni moja ya kesi kadhaa ambazo mwenendo wake kuanzia hatua ya awali hadi mwisho wake zinafuatiliwa kwa karibu na watanzania wengi, nchi marafiki wa maendeleo, asasi za kiraia zikiwemo Taasisi za dini na Jumuiya za Kimataifa huku mabaya yote yatokanayo na kesi hii yakielekezwa wa watawala

Mivutano ya pande zinazoshiriki maamzi ya Kesi hii huko Kisutu Mahakamani, mitifuano inayofanyika kati ya jeshi la polisi na raia wanaokwenda kushiriki kusikilizwa kwa shauri hilo pamoja na changamoto za kiteknolojia na kimifumo ambazo zimekuwa kwa namna moja ama nyingine zikipelekea uendeshaji wa kesi hiyo usiwe kama ilivyopangwa ni sehemu ya mambo yanayorekoriwa na kutunzwa kwa matumizi yatakayoishia kuwachafua watawala na Taifa letu. Ukweli Ni kwamba kumshikiria mwanamichezo kesi yake itahusishwa na michezo na kumshikiria mwanadiplomasia kesi yake itakuwa na mwitikio mkubwa kwa wanadiplomasia hivyo, Kesi ya Mbowe ni ya kisiasa na inafuatiliwa na wanasiasa na matokeo yake yanatafsiri mwenendo wa siasa za TANZANIA chini ya utawala uliopo.

Japo si wote tunaweza kujua, ukweli Ni kuwa Kesi ya Mbowe inatangaza duniani kuwa Tanzania Kuna ugaidi kupitia mashtaka menyewe, kesi ya Mbowe inatangaza kuwa wapinzani Tanzania wanapambana na serikali kwa kufungwa na kesi zisizoisha, kesi ya Mbowe inagombanisha raia na polisi kupitia vurugu Kati ya polisi na raia mahakami kila Siku ya kesi, kesi ya Mbowe inatengeneza kioo kwa dunia kutasmini Uhuru wa Mahakama na uhusiano wa Mahakama na matawi mengine ya dola, yote haya si mambo mazuri Sana.

Nani anayenufaika na kesi hii? Je Mbowe ni hatari kwa watanzania ama ni tishio kwa watawala? Je Mbowe akiachiwa huru kipi kitatokea kwa watanzania na kwa watawala? Je Mbowe akihukumiwa gerezani kipi kitatokea kwa watanzania na kwa watawala? Ni maswali magumu kwani majibu yake yanahitaji uhuru dhidi ya milengo ya kimtazamo na uzalendo wa kweli usio na dalili za maslahi binafsi.

Lakini Tanzania bado ni shwari, watawala wetu ni wasikivu, japo Kuna mapungufu ya kikatiba yanayosababisha yote haya, Bado Mahakama, Bunge na Watawala kwa Tanzania ni vyombo vinavyotekeleza majukumu yao kwa ushirikiano katika kutafuta suluhu ya masuala yanayoleta taharuki kwa watanzania na hata kwa nchi dhidi ya nchi zingine, bado ninasali na kuamini hata hili litamalizwa kwa hekima kama mengine mengi yaliyopita.

*Kuchafuka kwa Watawala wa nchi ni kuchafuka nchi, kushtakiwa wa nchi ni kushtakiwa kwa wananchi wa nchi husika, kususwa kwa mtawala wa nchi na nchi marafiki ni kususwa kwa wananchi wa nchi husika, hivyo, Kila mmoja kwa nafasi yake asimame imara kuhakikisha Rais wetu na Viongozi wakuu wa nchi hawachafuliwi na maovu haya yanayoepukika kabla hayajafikia katika hatua za kuwachafua na kuligharimu Taifa, Tafakuri jenzi.
Jeshi la polisi na CCM wadhani kesi ya ugaidi inaonesha uwezo wao wa kuudhibiti ugaidi kuliko nchi zote nyingine bila kujua ugaidi hauko kwenye kiwango cha askari kumnunulia nyamachoma na mo eneji gaidi na kukata miti na kuitandaza barabarani ili magari yasipite.
 
Wazalendo huko USA wampashe Mama.
 
Jeshi la polisi na CCM wadhani kesi ya ugaidi inaonesha uwezo wao wa kuudhibiti ugaidi kuliko nchi zote nyingine bila kujua ugaidi hauko kwenye kiwango cha askari kumnunulia nyamachoma na mo eneji gaidi na kukata miti na kuitandaza barabarani ili magari yasipite.
Kwa watu wanaomwamini Mungu hata kwa asilimia ndogo wangetafakari kesi ya Mbowe na alilofanya Hamza.
 
Back
Top Bottom