Hali zenu JF!
Nimeona niiweke hapa hii taarifa kwa nia nzuri.
Nmekua nkisafiri mara kwa mara kwa usafiri wa anga...muda mwingine hua mchana...asubuhi...jion/usiku...ukaguzi hua shwari pale kwenye scaner!.
Lakin leo nmefika muda wa saa kumi na mbili jion...tena na mvua hizi za dar...nkawa nmechelewa muda wa ukaguzi...askari wakatazama kwa umakini wao Bag yangu...wakawa kama wanahisi kitu...sikua na hofu maana vitu vya humo katika bag yangu ndio vya kila siku ya safari.
Ghafla akaja askari akaniomba akague nkamruhusu maana ni wajib wao...kapekua pekua hata sijui alikua anatazama vitu gani? Maswali yake hayakuniridhisha japo nami nlikua namjib kama alivyouliza!
Mwisho akaniruhusu nka-lock bag langu...na kuendelea na taratibu zingine!
Nkahisi labda ni jion ndio wamekua makini au ...?
Nawakilisha!
Nakutakia kila la kheri.Du, na mimi nimejifunza hapa, siku nikipanda hiyo kitu... Nina hamu...!
Kwanin wazitilie shaka?Labda hizo safari zako za mara kwa mara ndio wanatilia shaka!
Labda hizo safari zako za mara kwa mara ndio wanatilia shaka!
Hali zenu JF!
Nimeona niiweke hapa hii taarifa kwa nia nzuri.
Nmekua nkisafiri mara kwa mara kwa usafiri wa anga...muda mwingine hua mchana...asubuhi...jion/usiku...ukaguzi hua shwari pale kwenye scaner!.
Lakin leo nmefika muda wa saa kumi na mbili jion...tena na mvua hizi za dar...nkawa nmechelewa muda wa ukaguzi...askari wakatazama kwa umakini wao Bag yangu...wakawa kama wanahisi kitu...sikua na hofu maana vitu vya humo katika bag yangu ndio vya kila siku ya safari.
Ghafla akaja askari akaniomba akague nkamruhusu maana ni wajib wao...kapekua pekua hata sijui alikua anatazama vitu gani? Maswali yake hayakuniridhisha japo nami nlikua namjib kama alivyouliza!
Mwisho akaniruhusu nka-lock bag langu...na kuendelea na taratibu zingine!
Nkahisi labda ni jion ndio wamekua makini au ...?
Nawakilisha!
Pole kwa hayo ndugu!Mkuu mbona kawaida tu, tena kuna Polisi wengine ukitoka nje tayari umeishakaguliwa wanakomba tena pasipoti wanajiita wazee wa vitengo, wanaagalia viza zako, mimi binafsi nimeishakutana na kesi kama yako zaidi ya mara tatu
Ahsante kwa ushauri...ndio kupeana uzoefu zaidi.Sisi watu wa mataifa tunavichukulia hivi vitu kirahisi tu. Mzigo wako utakuwa ulimpanikisha mbwa wa narcotics. Hii inaweza ikatokea kimakosa labda mbwa kachemsha tu. Vile vile inawezekana mzigo wako uligusana na mzigo wa mtu aliyekuwa na madawa, hivyo harufu ikajipaka kwenye mzigo wako.
Ushauri wa bure ni kwamba ukisafiri hakikisha unapige kofuli zipu zote ili usiwekewe mzigo. Nchi nyingi sana hunyonga watu wanaokamatwa na mihadharati.
Kwa leo kunywa** bia** yako na uendelee kula bata.