Yalio jiri kuhusu sensa

Angefunga chini ningemuona wa maana, hapo atakulaje si atakufa njaa?
 
uzuri kwenye utendaji makarani watatumia mikono pia..............
 
Wahesabu watu wameuliza sare zpowapi?
Jamaa mmoja akajibu zmechelewa akaulizwa mbona za kupiga kura hazichelewi?kakosa jibu
 
Kujipa tabu bure. Baada ya hapo mdomo utakuwa si mdomo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…