Mi naukumbuka ule
Mwenzenu mi najuta eeh
Balaa gani lilonipata mimi
Nilikuwa ninaye mpenzi wangu Maprosoo
Aliniahidi tutafunga ndoa ya fahali
Mapumziko yetu weekend Mombasa
Shopping ya harusi itakuwa London
Sasa nimefilisika simuoni
Kashanipa ujauzito na kunitoroka eeeh mie mie
hahaaa haaaa iyo kiboko aiseee!
MMMMmh wimbo na yale majambozi huwa yananoga sana, na uimbe ukimaanisha, macho yakiongea na sauti tamuuu!! Mbona utaiona hii dunia ulikabidhiwa wewe peke yakoooo!!
Nipe nipe raha mtoto wa kitanzania
Nipe nipe raha niweke kwenye himaya
Nipe nipe raha mtoto wa kitanzania
Nipe nipe raha nakupenda ile mbaya
Nipe raha zako nina hamu kuziona
Nifiche baridi nipate joto mwanana
aaaaah mambo ya TOT Taarabu miaka ya 1993 hayoooo
Always mapenzi ni ubunifu na ubunifu huwa hauishi jamani!!!