Yakikufika haya utafanya nini?

Wanaume tuwe makini na hizi sumu za panya tunazoweka nyumbani na silaha tunazoweka vyumbani.
 
Iko poa maamuzi tu!
Sometimes kuna vitu hatupaswi kuvicomplicate saanaaa!
As longer as wanapata amani ya moyo haina shida hii.
Ile misingi ya ku NOT GIVE DMN naona bado unaiishi vema kabisa.
 
Kuna 0.000000001 situation kama hiyo kutokea.One in a billion
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hii si ishu yakuandaliwa jibu kabla, jibu linakuja wakati uleule watukio.
 
Nafanya upelelezi wa kuchunguza hayo madai then talaka itamhusu, sintopiga yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…